Jamani hakuna ubishi kuwa tendo la ndoa ndilo linaloshikilia ndoa bila hivyo hakuna maana ya ndoa. Hata kama kuna mataizo mwanandoa hastahili kumnyima unyumba mwenzie, cha kufanya ni kutafuta suluhu ya tatizo huku huduma ya msingi ya ndoa ikiendelea kama kawaida.
Kilichotokea kwa mumewe Flora Mbasha mpaka kabaka shemejiye ni matokeo ya kunyimwa unyumba kwa muda mrefu na aibu hii ni kwa wote wawili. Katika hili sio kwamba nampongeza huyu jamaa kubaka ila najaribu kusisitiza wajibu wa mwanamke au mwanandoa kwa mwenzie.
Tafakari, chukua hatua.
Haki ya tendo la ndoa...
View attachment 161546
Nakuuliza wewe mleta thread! Hivi wewe ukimfumania mke wako na mwanaume mwingine waweza kuendelea kumpa haki yake ya ndoa wakati mnaendelea kutafuta suluhisho?