DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
najaribu kutafakari utamu wa tendo la ndoa kwa upande wa wanaume huwa sielewi kwa sabau huwa nawaona wanachoka sana .... sasa kinachokufanya ukimbilie kuchoka ni nini? kakunyima si uvumilie tu jamani
Unatuona tunachoka?? dah....miss chagga! Naanza kuamini wanavyosema wachaga hawajitumi