Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Uvumilivu wa kunyimwa! Haya ni majaribu ni bora kuvumilia katika ugonjwa si katika kunyimwa.

okey sawa mkuu basi jitahidini muoe wanawake wenye hulka kama yako... kama unapend akusex oa wa hivyo
 
Tendo la ndoa ni kuoa kanisani au mskitin au boman.

Baada ya hapo linakuja swala la ngono.
Ndoa bila tendo la ngono si ndoa.
 
Mbona wewe km vile umeshathibitisha kwamba Florah ndo alikua na matatizo?? hata kama Florah ndo alikua na matatizo kwa kumnyima mumewe but does that makes it okey kwenda kubaka?? siangetafuta jinsi nyingine ya kujiridhisha. Mbona kuna watu wananunua wanawake wa kufanya nw tendo la ndoa na wengine wanatafuta watu ambao wako tayari. Hivi km ni kweli huyo mume alikua anacheat we ulitaka Florah ndo aendelee kumvuta tuu, mbona tunasahau kuwa hata Florah ni binadamu na anahisia pia? Mbona kuna wanaume wanapatiwa kila kitu and still wanacheat??? Hata wanawake pia wapo wanaopata kila kitu and they still cheat. So kwangu mie kila mtu awe responsible kwa makosa yake na sio kutaka kumsingizia mwingine ndo amesababisha. Kila mmoja wao ana mchango wa kuifikisha ndoa yao hapo ilipo no matter who started.
nimependa maelezo yako, watu wawe responsible for their own actions siyo kutafuta mtu wa kumtupia lawama
 
Hajanyimwa bure kuna sababu,huenda hyo baba anaendekeza michepuko,hata ingekua mm ningemnyima tu,kila mtu abebe mzigo wake,ona ukahaba wake mungu kamumbua vibaya
 
kwa iyo angekua ni mwanae apo angem'baka au......... huoni aibu kuhalalisha upuuzi kama huo!!

this is too low for me to comment,na mada kbs unaanzishia kuhalalisha huo utumbo...ngoja aende huko gerezani atajua tofaut y akubaka na kubakwa!! na i promise kupga kelele mpaka afungwe..maanina
 
Attachments

  • mdogo.jpg
    mdogo.jpg
    48.9 KB · Views: 231
Jamani hakuna ubishi kuwa tendo la ndoa ndilo linaloshikilia ndoa bila hivyo hakuna maana ya ndoa. Hata kama kuna mataizo mwanandoa hastahili kumnyima unyumba mwenzie, cha kufanya ni kutafuta suluhu ya tatizo huku huduma ya msingi ya ndoa ikiendelea kama kawaida.

Kilichotokea kwa mumewe Flora Mbasha mpaka kabaka shemejiye ni matokeo ya kunyimwa unyumba kwa muda mrefu na aibu hii ni kwa wote wawili. Katika hili sio kwamba nampongeza huyu jamaa kubaka ila najaribu kusisitiza wajibu wa mwanamke au mwanandoa kwa mwenzie.

Tafakari, chukua hatua.

Haki ya tendo la ndoa...
View attachment 161546

Acheni kufuatilia maisha ya watu. Hayatuhusu. Umbeya na ushambenga tu ndio vinawasumbua
 
Huyo jamaa hapajui sinza? zipo hadi za 2000 na chenji unapata
 
Tendo la ngono kwa mwanamke linakwenda sambamba na utulivu wa akili.sio ukute mume ni mwingi wa kuiba route halafu mke anajua kisha ukasimamia msimamo huu wa kuendelea na unyumba huku sululu ikitafutwa sahau hilo.
 
Kwa wasiomjua mdogo wake na flora Mbasha huyu hapa

mtoto mzuri sana aisee jamaa alikuwa na haki ya kutafuna,,... huyu demu ajabakwa bwana kampa mwenyewe labda kama walishindwana kwenye makubaliano waliyowekeana
 
Jamani hakuna ubishi kuwa tendo la ndoa ndilo linaloshikilia ndoa bila hivyo hakuna maana ya ndoa. Hata kama kuna mataizo mwanandoa hastahili kumnyima unyumba mwenzie, cha kufanya ni kutafuta suluhu ya tatizo huku huduma ya msingi ya ndoa ikiendelea kama kawaida.

Kilichotokea kwa mumewe Flora Mbasha mpaka kabaka shemejiye ni matokeo ya kunyimwa unyumba kwa muda mrefu na aibu hii ni kwa wote wawili. Katika hili sio kwamba nampongeza huyu jamaa kubaka ila najaribu kusisitiza wajibu wa mwanamke au mwanandoa kwa mwenzie.

Tafakari, chukua hatua.

Haki ya tendo la ndoa...
View attachment 161546

Hapo umenena mkuu, ndio maana likaitwa tendo la "ndoa"...

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
mtoto mzuri sana aisee jamaa alikuwa na haki ya kutafuna,,... huyu demu ajabakwa bwana kampa mwenyewe labda kama walishindwana kwenye makubaliano waliyowekeana

Mimi pia naamini hivyo, kubwaka gani siku mbili mfululizo..I'm sure hadi mauno alikuwa anakata huyu binti, basi tu terms and conditions hazijazingatiwa.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom