Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Leo mada ni za manyakanga Tu??? Ukimnyima mumeo WA ndoa unataka ukampe nani??
 
Teh teh...We ni miongoni mwa wavivu..Kitandani unakuwa kama maiti lol

Hahahaaaaa! Sasa cha kunitoa jasho ni nini wakati bahiriiiiii!! Teh teh teh nategesha tu kwa raha zangu, ikibidi na gazeti nasoma au naingia jf kabisa😀
 
mi hata unipe kila siku nitachepuka tu.siwezi kula maharage kila siku
 
Hahahaaaaa! Sasa cha kunitoa jasho ni nini wakati bahiriiiiii!! Teh teh teh nategesha tu kwa raha zangu, ikibidi na gazeti nasoma au naingia jf kabisa😀
Haha!!!...Ndo mana haudumu kwenye ndoa ww lol
 
jamani nasubiria jibu bcoz mi ni mhanga wa kubaniwa na me natoboa hata mwezi bila mchezo

Mwezi mzima? Mungu waangu. Mnalala kitanda kimoja mwezi mzima jamaa hakutafuni? Huyo ana shida kubwa saana
 
waambie hao maana wengine wanalala wamevaa surual ya jinsi au skin tight na chupi,
akiombwa Jion anasema amechoka, alfajiri anasema anawahi kazini. siku ambayo hajachoka anasema tumbo linauma, tumbo likipona yupo hedhi, weekend anashinda saloon.

looo. Mchepuko lazima.
 
Kwenye kitchen party wanaambiwa eti Mwanaume kama mtoto mdogo. Lakini wanasahau baadaye kuwa mtoto asipokula nyumbani, atakula kwa jirani!
 
Hii mada ni pana kidogo. Ila vitabu vya dini vinatuambia kuwa mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Wanaume wanahitaji vitu 2 vikuu katika maisha yao. Kwanza,sex na pili kauli,kujua kwamba yeye ni kichwa na si vinginevyo.

Sasa dada zangu wanakosea sana na ndiyo maana wanaume huenda sehemu ambazo watapata vitu hivyo viwili at ease.

Imagine...unanyimwa na mkeo haki yako. Na hata ukipewa inakuwa very formal. Sasa mtu akienda kwenye kunyooshwa misuli, anapewa yote na pole mpenzi anapata. Ataacha 'kurewind" kweli?

Mwenye masikio na asikie
 
Mweeeh ukisikia imeanzishwa mada ya kwamba sheria imeanzishwa kuwa ni lazima wanaume kuwapa hela wapenzi wao niite fastaaaa, hizi zingine mie mgeni kwakweli, labda Evelyn Salt ukuje mama kungwi leo kaja kivingine.

Nilivosoma tu maneno ya kungwi nkaenda kumpa, ngoja nikampe tena ntarudi..... Yani ni mwendo wa jogoo na mtetea ni kumpa
 
Last edited by a moderator:
jamani nasubiria jibu bcoz mi ni mhanga wa kubaniwa na me natoboa hata mwezi bila mchezo

Mwanaume hawezi kukubania hivihivi. Kutakuwa na kitu. Ama umepoteza mvuto. Jaribu kujitathimini
 
Nilivosoma tu maneno ya kungwi nkaenda kumpa, ngoja nikampe tena ntarudi..... Yani ni mwendo wa jogoo na mtetea ni kumpa

Hahahahaaaaa! Mpe mpeeee mama, usiibane asijechepuka, mweeeeh, itawaka moto sasa!
 
Back
Top Bottom