Kwa wanandoa: nani ana jukumu la kufua nguo zenu za ndani?

Sidhani kama kuna neno umekosea hata kidogo.Kuna viumbe wanadhani ndoa inafananishwa na mkoloni na mtawaliwa.Ni kosa kubwa.Kwanza ni kuishi kirafiki.Na siyo ubabe na undavaundava hadi kuogopwa kunaingilia mlango wa mbele wa familia na kuishi humo.
 
Hivi vipande ni zaidi ya dhahabu. Antie Kasie umetisha.
 
Mungu akubariki mkuu
 
Ukienda kuoa Pwani vitu sijui kufua,kupiga,kazi zote za nyumbani wanajua ni wajibu wa nani hamna mashindano na wanajua kupika kweli kweli.

Ila kuna baadhi ya nyumba beki tatu haishii kwenye kufua tuu,bali hadi kumpangia nguo za kuvaa kwamba hii inaenda na hii, ile na hii mke hana time.
 
💪🏿🙏🏿🙏🏿 wazungu walijifanya kutengeneza formula za mapenzi yakawashinda
 
Mama anamaliza kila kitu😄 ni mimi na kabati tu. Nishasahau hata habari za kufua.
Yani wewe una undugu na mume wangu, hafui hata iweje....wakati kabla ya kunioa alikuwa ananifulia vibikini anaanika kwenye kamba, afu nyumba ya kupanga hadi nilikuwa namkataza namwambia aache majirani wasije sema nimemroga🤣
Toka amenioa hagusi hata nguo zake, na mimi siwezi kumpa dada wa kazi nguo zake afue.....ndo nafua mwenyewe.
 
Hujadanganya.....yani hapa nimepewa madiko last night, basi nimeamka energy ya kutosha, nimemfulia nguo zote.....lunch mempikia wali nazi nne🤣🤣🤣 najichekesha chekesha siku nzima kama mtu alomaliza marejesho ya OYA!
Visirani vingine ni genye tu🤣🤣🤣
 
Tafuteni hela mnunue hii kitu...
Acheni kuoa wakati unajijua masikini choka mbovu, utaishia kuleta masikini wengine duniani

 
Kweli shez type kabisa yule mke eti anasema pep anawaza mpira tuu...wakati mpira huo ndio ulimfanya aishi vizuri apande private jets na kuenjoy life
 
Ofa ofa ofa!! Nafua chupi za mashangazi bure.
Ukileta ambayo ina masalia ya utelezi wako nitakulipa buku 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…