Vitu vingine ni kucheza na saikolojia ya mtu, mume mpe madikodiko mkeo ya kutosha kitandani, ukirudi kutoka kibaruani mletee kashata/chokoleti/pipi ya kijiti/vocha ya jero na here hereni au mkufu. Mpe tabasamu, busu na msikilize aliyoyahifadhi siku nzima.
Asubuhi yake ukiamka kama mkeo si mvivu na hana asili ya uvivu, atakufulia, atakuogesha na atakulisha bila kukalamika nimechoka kukufulia.
Sameway kwa wanawake wanaopenda kupewa hela na waume zao, beg them saikolojikali.
Akili mtu wangu 😉.
cc
Azarel