Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kitu kikiwa na jina ni ishara ya kwanza KIPO.Tena kama kina jina la tofauti kwa kila nchi, kila kabila na kila kitongoji
Hata Dragons πŸ‰ watemao moto midomoni mwao wana jina, ila kiuhalisia wao kama wao, Hawapo.

Sawa na huyo Mungu wenu, Hayupo katika uhalisia bali katika dhana za kufikirika tu.

Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu, Na ndio maana hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.
 
Kuna swali nilikuwa napenda sana kuuliza Atheist.Hivi kama ukifa it's okay tu historia yako ikasomwa watu wakakufukia na kila mtu akaishia zake kwake?
Ukishakufa umekufa, Hata mwili wako ukatupwa porini uliwe na fisi, Hautajua kwanza hauta kuwepo tena.
Na je watu wakaribu yako wanajua kuwa wewe ni atheist?I mean wazazi wako au ni huku tu jamii forum ukija unakuwa atheist?
Ni kwa waafrika tu, ndio mnaona mtu kuwa Atheist ni kitu cha ajabu.

Kwa nchi za ulaya na Amerika kuwa Atheist ni kawaida na watu wengi ni Atheists.
 
Nini kinakufanya huamini hayupo
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Anayesema yupo ana wajibu wa kuthibitisha yupo.

Habari zote za kumuelezea Mungu, hususan mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, zina contradiction, hazina logical consistency.

Moja ya contradiction hii ni The Problem of Evil.Contradictions hizo zinaonesha uongo, zinaonesha Mungu huyo hayupo, zinaonesha kuwa habari ya kusema yupo ni hadithi ya uongo ya kutungwa na watu tu.

Watu wengi ninaojadikiana nao hapa hawaelewi hata The Problem of Evil ni nini.

Mimi sitaki kuamini uongo, sitaki kuamini Mungu ambaye maelezo ya uwepo wake yana contradiction.

Nataka kujua ukweli usio na contradiction.
 
Mungu Yupo, usidanganyike
 
Mungu yuko wapi? Anafanya nini sasa hivi? Yuko na kina nani? Makazi yake yako wapi? Anafanana na nini huyo Mungu? Umewahi kumuona mkaongea nae akamwambia yeye ndio Mungu alieumba kila kitu ama unategemea hadithi za sungura na fisi za kwenye biblia ama Quran?
 
Lok

Look at yourself, two eyes, ears, and everything perfectly thought out , that means there's a designer( God). If it was nature you'd have been with one eye on the stomach, one ear Γ  hand without 5 fingers but you were perfectly made because one (God) thought of you ( everything) before creating it. Believe or not that's the truth. Religion ( organized religion) might be misleading but there is God , and let's not confuse God with organized religion
 
Hamna mnachoweza kujadili, Zaidi ya imani zenu uchwara mlizo pumbazwa na kuaminishwa zisizo na uthibitisho wowote ule.
Shida m

Ulisha wahi kufa ukajua huyo Mungu yupo?

Au unatetea stori uchwara za kusimuliwa tu?
Mnaona kwamba nature yenu mlokuwa mna iyamini nimeipiga k o leo mnakimbilia tunataka kumuona kwa macho na mdomo aloo nina safari nzito nafurahi kwamba mnaelewa

maana kwenye iyo nature msiyo iyamini kuna nature kibao mnaziamini
 
Vizuri, ni kweli mule kaelezea mengi sana ila kama unakiamini kitabu cha Henoko kwanini leo hii kinahesabika kama moja ya vitabu ambavyo havifai kwa mafundisho (Apocrypha book)?

Lakini vile vile ni wapi Yesu alianzisha dhehebu mbona kuna utitiri mkubwa sana wa madhehebu na lipi lina mafundisho sahihi?

Je unaamini sabato ni jumamosi hii ya kalenda ya Gregory?

Nimekuuliza hayo kwasababu nimeona kuna kitu naweza pata kwako.
 
Aliye kwambia bila huyo "God" ningekuwa na jicho moja, sikio moja au mkono bila vidole vitano, ni nani?

Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.

Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.

Unafosi fosi tu, Dunia iwe imeumbwa na huyo Mungu wako uchwara wa kufikirika.
Believe or not that's the truth.
There's no truth without evidence, facts and proofs.

Don't force your claims to be true while they are false.
Religion ( organized religion) might be misleading but there is God , and let's not confuse God with organized religion
God doesn't exist.
 
Shida m



Mnaona kwamba nature yenu mlokuwa mna iyamini nimeipiga k o leo mnakimbilia tunataka kumuona kwa macho na mdomo aloo nina safari nzito nafurahi kwamba mnaelewa
Gentleman, sisi hatuamini kwenye kuamini. Hatuna imani ya aina yeyote ile.

Una elewa hilo?
maana kwenye iyo nature msiyo iyamini kuna nature kibao mnaziamini
Hatuhitaji kuamini na hatuamini.

Tunajua na tunahitaji kujua kwa uthibitisho, ushahidi na uhakika.
 
Yupo wapi?

Huyo Mungu yupo kichwani kwako tu kwenye mawazo yako, ila kiuhalisia hayupo na hajawahi kuwepo.
Kuna kitu/uwezo unacho ndani yako ambao unakuwezesha kuwasiliana na your creator straight, moja kwa moja.

Think
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…