Sasa kama unataka jibu fupi si usome maneno mawili ya mwanzo tu nimeanza kwa kuandika "Sitaki imani" nikijua kabisa kuna watu wavivu wa kusoma na hawawezi kufuatilia mlolongo wa maandishi ya kimantiki.Umejibu jibu refu my nataka useme ndio au hapana kisha niendelee Sion hutaki Imani sema ndio au sio
Nafikiri amewaita nyie ndio mumtukane maana nyie people mna matus mazitoo mnooooo maana hamjali kama kuna huku end of time!?Umetuita ili uje ututukane?
Logical non sequitur fallacy.Basi ulijiumba
Na hao wazazi nan kawaumbaLogical non sequitur fallacy.
Mungu kutokuwapo si lazima imaanishe nimejiumba.
Inawezekana Mungu hayupo na mimi nimezaliwa na wazazi wangu.
Mnaosema kuna Mungu huyo Mungu katokeaje? Kawepo vipi? Kaanza vipi?
Tusi zito kabisa kwa mtu ni kuaminishwa kuna Mungu asiyeonekana, asiyethibitishika kimantiki,mwenye contradictions nyingi sana katika maelezo ya kuwepo kwake.Nafikiri amewaita nyie ndio mumtukane maana nyie people mna matus mazitoo mnooooo maana hamjali kama kuna huku end of time!?
Na wao wamezaliwa na wazazi wao.Na hao wazazi nan kawaumba
Sawa mkuu. Uzuri ninkwamba soote tutakufa. Hili ndilo huwa linanifanyaga nisiwe mbishi saana kuhusu masuala ya MunguTusi zito kabisa kwa binadamu ni kuaminishwa kuna Mungu asiyeonekana, asiyethibitishika kimantiki,mwenye contradictions nyingi sana katika maelezo ya kuwepo kwake.
Ukiambiwa uamini Mungu huyu yupo ndiyo tusi kubwa kuliko yote.
Hatuwezi kuwatukana tusi kubwa kuliko mnavyotutukana tuamini uwapo wa Mungu huyu.
Ungekuwa haufi ungeweza kuwa mbishi kuhusu masuala ya Mungu?Sawa mkuu. Uzuri ninkwamba soote tutakufa. Hili ndilo huwa linanifanyaga nisiwe mbishi saana kuhusu masuala ya Mungu
Kufa kunatakiwa kukufanya ubishie uwepo wa Mungu, hususan Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.Sawa mkuu. Uzuri ninkwamba soote tutakufa. Hili ndilo huwa linanifanyaga nisiwe mbishi saana kuhusu masuala ya Mungu
I guese Yes, ningekua na uhakika wa kuishi milele? Hata Sir-100 asingenambia kituUngekuwa haufi ungeweza kuwa mbishi kuhusu masuala ya Mungu?
Sawa..ila naongelea fumbo baada baada ya kufa. What happens next?Kufa kunatakiwa kukufanya ubishie uwepo wa Mungu, hususan Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote.
Watu wengi wanakufa bila kuoenda, wanakufa kabla ya kumaliza kazi zao, wanakufa na kutenganishwa na famikia zao wanazozioenda.
Surely, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo angewahurumia hawa viumbe wake na kuwafanyia wepesi kwenye kufa, ama wasife, ama wafe kwa kuweza juoanga wao wafe vipi na lini.
Kifo cha kufa bila kutaka wala kuoanga kinaonesha Mungu huyo hayupo.
Hakuna fumbo hapo.Sawa..ila naongelea fumbo baada baada ya kufa. What happens next?
kuishi baada ya kufa ni hadithi za kiimani tu ambazo
Kukosekana wa kuthibitisha haihalalishi kuwa hakuna hayo maisha!.hakuna anayeweza kuthibitisha.
Sisemi tu kwamba hakuna maisha baada ya kifo kwa sababu hakuna uthibitisho.Kukosekana wa kuthibitisha haihalalishi kuwa hakuna hayo maisha!.
yaweza kuwa sawa na kumpa mtoto wa kayumba primary darasa la kwanza a solve integration question
in your science world, kuna mambo yanatajwa sana, vitu kama mind, soul, spirit!.Sisemi tu kwamba hakuna maisha baada ya kifo kwa sababu hakuna uthibitisho.
Nasema hivyo pia kwa sababu maisha baada ya kifo kwa aliyekufa yanapingana na kanuni za kibaiolojia, kanuni za kifizikia, kanuni za kisayansi.
Pia.
Kuna mambo hayathibitishiki, lakini yapo.
Na kuna mambo hayathibitishiki, kwa sababu hayapo.
Sasa wewe utajuaje maisha baada ya kifo yapo na hayathibitishiki, na si kwamba hayathibitishiki kwa sababu hayapo?
Hiyo stage ya kufikiria uliyopo tulishapita zamani sana bado unasafar ndefu mdogo wangu, unatakiwa kuijua vizuri geography, biology na chemistryNa wao wamezaliwa na wazazi wao.
Kama unaona suala la kuumbwa ni muhimu sana na lazima, na huyo Mungu nani kamuumba?
Hata kama kwenye science hawaja prove. Hilo bado halithibitishi Mungu yupo.in your science world, kuna mambo yanatajwa sana, vitu kama mind, soul, spirit!.
Has any body ever proved of them??
Bado hujafikia stage ya kuthibitisha Mungu yupo, hiyo ndiyo naitaka mimi.Hiyo stage ya kufikiria uliyopo tulishapita zamani sana bado unasafar ndefu mdogo wangu, unatakiwa kuijua vizuri geography, biology na chemistry
Umejuaje? Unathibitishaje hili?Uwepo wa Mungu ungekuwepo, tungebaki kubishana kama ni yeye ndo kaumba kila kitu kweli.