Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 146
- 212
- Thread starter
-
- #581
Imani imeubwa ndani yako kama mambo mengine yakuhisi kuona n.k so hata ungelelewa na sokwe hiyo kitu haiwezi toka🤣msing'ate nga'te maneno kuweni moja kwa moja kwamba mnajua mnaona lakini, amtaki kumuamini tu, semeni sisi hatuta amini pamoja na mambo yote msemayo kwa ushahidi si porojo tu, kwamba ninaweza kuamka asubuhi kwa vile jana nilisoma kitabu kimoja cha mzungu kinachooeleza mungu ni nadharia nishajishibia zangu ugali nakuja kupishana na watu humu jf, kuweni wa wazi msipindishe maneno.Mtoto mdogo wa miaka mitano anaamini nini? Wewe ungezaliwa katika familia isiyo na dini au eneo halina dini yoyote unafikiri ungeamini chochote??
Atheists wanaamini nini??Imani imeubwa ndani yako kama mambo mengine yakuhisi kuona n.k so hata ungelelewa na sokwe hiyo kitu haiwezi toka🤣msing'ate nga'te maneno kuweni moja kwa moja kwamba mnajua mnaona lakini, amtaki kumuamini tu, semeni sisi hatuta amini pamoja na mambo yote msemayo kwa ushahidi si porojo tu, kwamba ninaweza kuamka asubuhi kwa vile jana nilisoma kitabu kimoja cha mzungu kinachooeleza mungu ni nadharia nishajishibia zangu ugali nakuja kupishana na watu humu jf, kuweni wa wazi msipindishe maneno.
Kwa nini mtu asitake kuamini tu mungu?Imani imeubwa ndani yako kama mambo mengine yakuhisi kuona n.k so hata ungelelewa na sokwe hiyo kitu haiwezi toka🤣msing'ate nga'te maneno kuweni moja kwa moja kwamba mnajua mnaona lakini, amtaki kumuamini tu, semeni sisi hatuta amini pamoja na mambo yote msemayo kwa ushahidi si porojo tu,
Mtoa mada, wewe ni mpumbavu sana “in jiwe sound” senge sana weweKwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini
Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.
Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,
ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Nilitaka Nimvute kwenye MjadalaImani inayojadiliwa hapo ni imani(belief) kuhusu mungu, sio imani(faith) kuhusu mambo ya kila siku ya kawaida kama hayo ya kulipwa mshahara mwisho wa mwezi.
Bwana Bongo Agnostic na Ignostic Sio Kama Ulivyoiweka Wewe..Agnostic mtu anayeamini kwamba hakuna kitu kinachojulikana au kinachoweza kujulikana juu ya kuwepo au asili ya Mungu au kitu chochote zaidi ya matukio ya kimwili, mtu ambaye hadai imani wala kutoamini Mungu
Sababu zipi zimekupelekea kuwa katika kundi hili, maana ni moja la kundi la upotovu pia kwasababu aliamini pia uwepo wa mungu kwa imani yangu ya kiislamu.
Unaposema Hakuna Kupatana Unamaanisha Umeamua Vita..Hapa hakuna kupatana na kama lengo lako kumpata mtu kwetu sisi lazima utafua dafu. hapa tunataka elimu na hoja madhubuti kwa ufupi hakikisha unacho kiongelea unakijua na unaweza kukitetea kwa hoja na ubainifu.
uko sahihi Imani Ikithibitika Haiitwi Imani tena..Maelezo yako yanaonyesha ya kuwa imani haithibitishiki bali ni kuamini tu. Soma ulichokiandika vizuri.
Sasa Unachanganya Imani Na Doctrine ..Maana uliyo itoa haiko sahihi sababu imetoka katika vigezo vya maana ya maana. Maana ya maana ni kuruhusu yaingie yote yahusyo tamko au kitendo na kuzuia yasiingie yote yasiyo husu tamko au kitendo husika. Maana ya Imani si kauli tu, imani ina vijenzi kadhaa imani ina kusadiki yaani kufangamanisha jambo husika na moyo, na kulitamka jambo hilo na hili hutanguliwa na elimu.
Huyo kisai ni Bogus fulani hivi ambalo halielewagi.Aya ya kwanza tu imethibitisha ulicho kisema ni maneno ya kiimani tu ambayo hauwezi kuyathibitisha ili yatoke kwenye imani yawe ukwel na hakika.
Hoja Yako Iko wapi? Mbona unatukana kama mwehu? Au huamini hicho ulichoandika? 😆😆Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini
Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.
Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,
ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Huyo kisai ni Bogus fulani mwenye itikadi kali za uislamu.Unaposema Hakuna Kupatana Unamaanisha Umeamua Vita..
Mijadala Sio Vita
uko sahihi Imani Ikithibitika Haiitwi Imani tena..
inaitwa Facts na Facts Zikiwa Nyingi Zinaunda maarifa (Knowledge)
Sasa Unachanganya Imani Na Doctrine ..
Kajifunze maana Ya Haya Maneno matano ukimaliza Njoo kwenye Mjadala..
Kajifunze maana Ya Beliefs, Facts, Inference,Knowledge na Doctrine..
Doctrine ni Mkusanyiko wa Imani Nyingi ambazo mara Nyingi hazina Ithibati ila Inference Ni Mkusanyiko wa Facts na Logical conclusiom zenye Facts..
Dini zote Ni Doctrine na Sio Inference
Does not matter Kwa aliyekufa.Kuna swali nilikuwa napenda sana kuuliza Atheist.Hivi kama ukifa it's okay tu historia yako ikasomwa watu wakakufukia na kila mtu akaishia zake kwake?Na je watu wakaribu yako wanajua kuwa wewe ni atheist?I mean wazazi wako au ni huku tu jamii forum ukija unakuwa atheist?
Hata Kama Tukihamia kwenye Uislamu Ruksa Nikatumia Hoja za Uislamu Pia Japo huwa Sipendi kutumia Hoja Hizo kwa sababu zangu binafsi..Huyo kisai ni Bogus fulani mwenye itikadi kali za uislamu.
Wala haelewagi.
Baba na Mama yako ni watu.kwasababu hakuna mtu anaeweza kuumba mtu wala mtu
Ardhi haijaumbwa.anae weza kuumba Ardhi na mbingu kama yupo mtu anaeweza kuumba mtu basi aumbe mimi nitakuwa wakwanza kumsujudia na kumtangaza
Safi sana Mkuu Umechambua Vizuri Kabisa..Bwana Bongo ili kumuelewa vizuri DR Mambo Jambo nimekuletea maelezo ya ChatGPT.
Agnostiki na Ignostiki ni misimamo inayohusiana na maswali kuhusu uwepo wa Mungu au miungu, lakini zinatofautiana katika maana.
Agnostiki
Agnostiki ni mtu ambaye anaamini kuwa uwepo wa Mungu au miungu haujulikani au hauwezi kujulikana. Hii inamaanisha kwamba, kwa mtindo huu, mtu hawezi kusema kwa uhakika kama Mungu yupo au hayupo kwa sababu ushahidi wa kuunga mkono maoni yoyote ni dhaifu au haupo kabisa. Agnostiki anaweza kuwa na maoni ya aina mbili:
Agnostiki Mkali: Anadhani kuwa ni vigumu au haiwezekani kujua kama Mungu yupo au hayupo.
Agnostiki Laini: Anadhani kuwa hauwezi kujua sasa kama Mungu yupo, lakini labda siku zijazo tunaweza kufikia jibu.
Ignostiki
Ignostiki ni mtazamo unaodai kuwa dhana ya Mungu ni isiyofafanuliwa vya kutosha au haifai kujadiliwa. Hapa, mtu anadai kwamba kabla ya kuzungumzia uwepo wa Mungu, neno "Mungu" linapaswa kufafanuliwa wazi. Ignostiki anasema kuwa bila kuwa na maelezo ya kutosha ya maana ya Mungu, majadiliano yoyote juu ya uwepo wake yatakuwa ya bure au yasiyo na maana.
Kwa kifupi:
Agnostiki inajikita katika kutokuwa na uhakika kuhusu uwepo wa Mungu.
Ignostiki inasisitiza kwamba dhana ya Mungu haijatosheleza au haieleweki vya kutosha hata kuzungumzia.
Hivyo, ingawa zote zinahusiana na maswali ya kimaadili na kidini, agnostiki inalenga katika ukweli na uhalisia wa kujua, wakati ignostiki inataka ufafanuzi wa wazi wa dhana ya Mungu kabla ya kujadili.
Unaposema Hakuna Kupatana Unamaanisha Umeamua Vita..
Mijadala Sio Vita
uko sahihi Imani Ikithibitika Haiitwi Imani tena..
inaitwa Facts na Facts Zikiwa Nyingi Zinaunda maarifa (Knowledge)
Sasa Unachanganya Imani Na Doctrine ..
Kajifunze maana Ya Haya Maneno matano ukimaliza Njoo kwenye Mjadala..
Kajifunze maana Ya Beliefs, Facts, Inference,Knowledge na Doctrine..
Doctrine ni Mkusanyiko wa Imani Nyingi ambazo mara Nyingi hazina Ithibati ila Inference Ni Mkusanyiko wa Facts na Logical conclusiom zenye Facts..
Dini zote Ni Doctrine na Sio Inference..
Na Nikuongeze Palipo na Inference Faith/Believe haikai kabisa
Huyo kisai ni Bogus fulani mwenye itikadi kali za uislamu.
Wala haelewagi.
Kwa Hoja Hii Nathibitisha Kuwa Kuna Mstari mdogo sana Kati ya wanayosema Kuhusu Wewe Na Wewe halisi Ulivyo..Hii sio kweli kabisa ndio maana nimekwambia idurisi tena maana ya Imani. Imani sahihi hutanguliwa na elimu yaani ujuzi, kisha kauli au kitendo unakifungamanisha moyoni. Hii ndio Imani Sasa.