Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Mtoto mdogo wa miaka mitano anaamini nini? Wewe ungezaliwa katika familia isiyo na dini au eneo halina dini yoyote unafikiri ungeamini chochote??
Imani imeubwa ndani yako kama mambo mengine yakuhisi kuona n.k so hata ungelelewa na sokwe hiyo kitu haiwezi toka🤣msing'ate nga'te maneno kuweni moja kwa moja kwamba mnajua mnaona lakini, amtaki kumuamini tu, semeni sisi hatuta amini pamoja na mambo yote msemayo kwa ushahidi si porojo tu, kwamba ninaweza kuamka asubuhi kwa vile jana nilisoma kitabu kimoja cha mzungu kinachooeleza mungu ni nadharia nishajishibia zangu ugali nakuja kupishana na watu humu jf, kuweni wa wazi msipindishe maneno.
 
Atheists wanaamini nini??
 
Imani imeubwa ndani yako kama mambo mengine yakuhisi kuona n.k so hata ungelelewa na sokwe hiyo kitu haiwezi toka🤣msing'ate nga'te maneno kuweni moja kwa moja kwamba mnajua mnaona lakini, amtaki kumuamini tu, semeni sisi hatuta amini pamoja na mambo yote msemayo kwa ushahidi si porojo tu,
Kwa nini mtu asitake kuamini tu mungu?
Nini kinachopelekea mtu aliyeumbiwa imani afikie kutotaka tu kuamini?
 
Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini

Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.

Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,

ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Mtoa mada, wewe ni mpumbavu sana ā€œin jiwe soundā€ senge sana wewe
 
Imani inayojadiliwa hapo ni imani(belief) kuhusu mungu, sio imani(faith) kuhusu mambo ya kila siku ya kawaida kama hayo ya kulipwa mshahara mwisho wa mwezi.
Nilitaka Nimvute kwenye Mjadala
 
Agnostic mtu anayeamini kwamba hakuna kitu kinachojulikana au kinachoweza kujulikana juu ya kuwepo au asili ya Mungu au kitu chochote zaidi ya matukio ya kimwili, mtu ambaye hadai imani wala kutoamini Mungu

Sababu zipi zimekupelekea kuwa katika kundi hili, maana ni moja la kundi la upotovu pia kwasababu aliamini pia uwepo wa mungu kwa imani yangu ya kiislamu.
Bwana Bongo Agnostic na Ignostic Sio Kama Ulivyoiweka Wewe..

Agnostic believes that the existence or non-existence of God (or gods) is unknown or unknowable...

means anapima Je Mnaweza Kujua Kweli kama Mungu yupo au Kutokujua kama Mungu hayupo..

Yaani Agnostic Anapima Kote kote kwa Atheist waeleze Kwanini wanasema Mungu hayupo na kwa Theist kwanini wanasema mungu yupo..

Kama Wakishindwa kutoa Hoja bhasi tunasema The Existence and Non Existence of God is totally Unkownable..
MEans vyote viwili between The Existence na Non existence
wameshindwa Kuleta Hoja yakinifu kuthibitisha kwa Hiyo vyote bado havijulikani..

Ni rahisi Sana Kumbdadilisha Agnostic kama Utaleta Hoja Yakinifu na akaamini, Kumbuka Agnonistic Huwa Ni Mwanazuoni ambaye ana Experience ya Pande zote Mbili Theist na atheists..

so we don’t claim certainty,instead, we think you Both lack sufficient evidence or the tools to definitively answer the question.
And Lastly we Focus on Knowledge (not belief).and focus on whether we can know if a deity exists or Dont..
Not Blah blah blah ..

Leo Nilikuwa Upande wa Agnostics ila Ningekuwa Upande wa Ignostics Ungenichukia Maana Kabla ya Kuanza Kudiscuss Kuhusu Uwepo wa Mungu tungeanza Kudiscuss Mungu ni nani..
Kwa maana Kama Ignostics tuna argues kuwa the concept of God needs to be clearly defined before discussing or debating its existence.

so ningeondoka kwenye Mdahalo mapema sana kwa sababu We believe many arguments about God are meaningless because "God" is too vague or undefined...

Sijui kama umenielewa?

Na Umesema Ni Moja ya Upotofu?

Define upotofu; maana Hata Mimi Nakuona Wewe Mpotofu pia na Hata wakristo wanawaona Waislamu wapotofu japo wao wote ni theists Wakristo waromani Wanawaona Madhehebu mengine Wapotofu..
Kadhalika Sunni wanawaona Shia Wapotofu na Shia Hivyo hivyo..
AlSunni Wal jamaa wanawaona Answari (Uwahabi)Wapotofu kadhalika Salafi na Madhehebu mengine hivyo hivyo...

So nieleze Kuhusu Upotofu nikuelewe..
 
Hapa hakuna kupatana na kama lengo lako kumpata mtu kwetu sisi lazima utafua dafu. hapa tunataka elimu na hoja madhubuti kwa ufupi hakikisha unacho kiongelea unakijua na unaweza kukitetea kwa hoja na ubainifu.
Unaposema Hakuna Kupatana Unamaanisha Umeamua Vita..
Mijadala Sio Vita
Maelezo yako yanaonyesha ya kuwa imani haithibitishiki bali ni kuamini tu. Soma ulichokiandika vizuri.
uko sahihi Imani Ikithibitika Haiitwi Imani tena..
inaitwa Facts na Facts Zikiwa Nyingi Zinaunda maarifa (Knowledge)
Maana uliyo itoa haiko sahihi sababu imetoka katika vigezo vya maana ya maana. Maana ya maana ni kuruhusu yaingie yote yahusyo tamko au kitendo na kuzuia yasiingie yote yasiyo husu tamko au kitendo husika. Maana ya Imani si kauli tu, imani ina vijenzi kadhaa imani ina kusadiki yaani kufangamanisha jambo husika na moyo, na kulitamka jambo hilo na hili hutanguliwa na elimu.
Sasa Unachanganya Imani Na Doctrine ..
Kajifunze maana Ya Haya Maneno matano ukimaliza Njoo kwenye Mjadala..

Kajifunze maana Ya Beliefs, Facts, Inference,Knowledge na Doctrine..

Doctrine ni Mkusanyiko wa Imani Nyingi ambazo mara Nyingi hazina Ithibati ila Inference Ni Mkusanyiko wa Facts na Logical conclusiom zenye Facts..

Dini zote Ni Doctrine na Sio Inference..

Na Nikuongeze Palipo na Inference Faith/Believe haikai kabisa
 
Kwa wanaoamini hakuna mungu, ukiwachunguza kwa makini hawa watu ndiyo ujifanya wao ni majiniazi, kumbe ni wapumbavu wa mwisho katika hii dunia, na hoja yao kubwa ni kwamba kila kitu ni nature hoja hii haina mashiko hata kidogo na ni hoja ya kipuuzi ambayo utolewa na watu ambao kwa kawaida wameshindwa kuamini katika imani zao kwa uthabiti maybe wamechunguza kuwa katika imani zao ambazo wamekuwa na kulelewa umo aziko sawa sawa na azijawapa majibu yakutosha kiasi cha wao kuamini

Kuna wengine majeuri tu na kwakweli katika hii dunia watu hao awawezi kukosekana wanajua na kuona lakini nyoyo zao zimekufa na wauwaji ni wenyewe na matendo yao.

Na rudi katika hii hoja ya kusema kila kitu kipo sababu ni nature, huyu huyu anaesema hivi anaamini kwamba simu anatengeneza mzungu internet mzungu,

ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Hoja Yako Iko wapi? Mbona unatukana kama mwehu? Au huamini hicho ulichoandika? šŸ˜†šŸ˜†
 
Unaposema Hakuna Kupatana Unamaanisha Umeamua Vita..
Mijadala Sio Vita

uko sahihi Imani Ikithibitika Haiitwi Imani tena..
inaitwa Facts na Facts Zikiwa Nyingi Zinaunda maarifa (Knowledge)

Sasa Unachanganya Imani Na Doctrine ..
Kajifunze maana Ya Haya Maneno matano ukimaliza Njoo kwenye Mjadala..

Kajifunze maana Ya Beliefs, Facts, Inference,Knowledge na Doctrine..

Doctrine ni Mkusanyiko wa Imani Nyingi ambazo mara Nyingi hazina Ithibati ila Inference Ni Mkusanyiko wa Facts na Logical conclusiom zenye Facts..

Dini zote Ni Doctrine na Sio Inference
Huyo kisai ni Bogus fulani mwenye itikadi kali za uislamu.

Wala haelewagi.
 
Kuna swali nilikuwa napenda sana kuuliza Atheist.Hivi kama ukifa it's okay tu historia yako ikasomwa watu wakakufukia na kila mtu akaishia zake kwake?Na je watu wakaribu yako wanajua kuwa wewe ni atheist?I mean wazazi wako au ni huku tu jamii forum ukija unakuwa atheist?
Does not matter Kwa aliyekufa.

Nife Mimi nyie wengine mpate tabu za nini? Hao wengine wakijua au wasijue so what? Sijaelewa hoja Yako ni ipi hasa?
 
Huyo kisai ni Bogus fulani mwenye itikadi kali za uislamu.

Wala haelewagi.
Hata Kama Tukihamia kwenye Uislamu Ruksa Nikatumia Hoja za Uislamu Pia Japo huwa Sipendi kutumia Hoja Hizo kwa sababu zangu binafsi..
Ila kisai Bado sana Na Staili ya Kuargue anayoitumia Ni Attack and Infuse or attack and Deffuse..
 
kwasababu hakuna mtu anaeweza kuumba mtu wala mtu
Baba na Mama yako ni watu.

Na waliweza kukuumba wewe kwa kukuzaa.

Wala hukuumbwa na huyo Mungu.
anae weza kuumba Ardhi na mbingu kama yupo mtu anaeweza kuumba mtu basi aumbe mimi nitakuwa wakwanza kumsujudia na kumtangaza
Ardhi haijaumbwa.

Kwanza huna uthibitisho wowote ule wa kwamba Ardhi iliumbwa.
 
Tulikuwa wabishi,. Nyinyi si mnajiona wabishi bhana! Kabla nilikuwa nawaaminisha watu kwamba tatizo la kifo litatatuliwa na wanadamu kadri miaka inavyozidi kwenda na litatatuliwa namna gani? Nilikuwa nawaambia watu kuwa ili kumaliza tatizo la kifo Ni lazima kupima viashiria vyenye uendelevu wa uhai hapa duniani ambavyo baadhi Ni nyoka jinsi anavyojivua Gamba lake na kubaki mdogo na kuendelea kusurvive, na kwa mtindo huo kunaweza kuwa na uendelevu usio na kikomo endapo tutaimodify kwa kutumia akili zetu ipasavyo.

Pili nilikuwa nadhani kufanyia kazi dhana ya dawa flani za kale ambazo mtu alikuwa Kama ameichanja ile unakuta kwamba anachelewa kufa Sana wakati mwingine unakuta anaoza lakini bado anapumua. Kule usukumani wanaita mfakale.

Tatu niliwaaminisha kwamba kunakiashiria ambacho Ni Cha kawaida Cha kuahirisha uhai wa tunda kwa siku nyingi na kula likiwa bado katika hali yakutokuoza. Kuligandisha na njia nyingine nyingi.
Njia hizi zote nk. Ilikuwa kwa lengo la kuwahamasisha watu kutumia akili ipasavyo ili kuharakisha juhudi za mwanadamu kumaliza tatizo la kifo. Lkn Mara nyingi nilipata upinzani kwa watu wa dini Hadi ilifikia hatua ya kutaka kupigana.
Kipindi hicho chote sikuwa nimesoma kwa kina Sana neno la Mungu.

Ndipo nilipoanza kusoma neno la Mungu kwa kina Sana na kumaanisha pamoja na kuacha uovu kabisa. Nikaanza kushangaa kila nikiota kitu baadae kinatokea vilevile nilivyoota. Nikampigia dada yangu simu akadai Ni mizimu hiyo hahahaaa! Niliendelea kuota hivyo na Sasa nikawa nawaambia watu kabla halijatokea na badae likitokea wengine wanasema Mimi Ni mchawi.
Kuna siku roho iliniuma Sana ambapo niliota rafiki yangu tunayefanya nae kazi amefia kwenye maji na alikuwa katika hali yakuniomba msaada nimsaidie masikini lkn nikiwa kwenye ndoto nikatafakari nikimsaidia ataning'ang'ania tutakufa wote nikawa nimemwacha azame. Mida ya saa sita walikuja wafanyakazi wenzangu nakunipa taarifa ya kifo duh! Nilishangaa sana. Roho iliniuma Sana kuona huenda ningemsaidia asingekufa. Na hapa nilijifunza kitu, mtu yeyote anapotaka kufa huwa roho yake inahangaika kumtafuta mtu wa imani ili amsaidie. Basi nilikwenda kwa mchungaji kumweleza tukio Hilo akasema umekosea lkn Ni kwa sababu hukujua, Sasa kuanzia leo ukioneshwa tukio lolote kemea na kuomba Sana.
Mbali na tukio Hilo nimeona matukio mengi na makubwa na nilikuwa nawaambia watu kabla hayajatokea. Mfano tukio la mv spice ya Zanzibar. RPC baro alivyopigwa risasi na niliwaambia watu kabla. Mungu yupo msiwashabikie watu wanaopinga Mungu kwenda kwenye uangamivu. Na tena hiyo Ni mbaya Sana maana Ni kushawishi utatoa hesabu ya watu wote ambao watapotea kupitia wewe. Si huwa mnadai tunaongea Mambo yakutisha tisha watu acha tuwatishe kwani ndivyo ilivyo.
 
Bwana Bongo ili kumuelewa vizuri DR Mambo Jambo nimekuletea maelezo ya ChatGPT.

Agnostiki na Ignostiki ni misimamo inayohusiana na maswali kuhusu uwepo wa Mungu au miungu, lakini zinatofautiana katika maana.

Agnostiki

Agnostiki ni mtu ambaye anaamini kuwa uwepo wa Mungu au miungu haujulikani au hauwezi kujulikana. Hii inamaanisha kwamba, kwa mtindo huu, mtu hawezi kusema kwa uhakika kama Mungu yupo au hayupo kwa sababu ushahidi wa kuunga mkono maoni yoyote ni dhaifu au haupo kabisa. Agnostiki anaweza kuwa na maoni ya aina mbili:

Agnostiki Mkali: Anadhani kuwa ni vigumu au haiwezekani kujua kama Mungu yupo au hayupo.

Agnostiki Laini: Anadhani kuwa hauwezi kujua sasa kama Mungu yupo, lakini labda siku zijazo tunaweza kufikia jibu.

Ignostiki

Ignostiki ni mtazamo unaodai kuwa dhana ya Mungu ni isiyofafanuliwa vya kutosha au haifai kujadiliwa. Hapa, mtu anadai kwamba kabla ya kuzungumzia uwepo wa Mungu, neno "Mungu" linapaswa kufafanuliwa wazi. Ignostiki anasema kuwa bila kuwa na maelezo ya kutosha ya maana ya Mungu, majadiliano yoyote juu ya uwepo wake yatakuwa ya bure au yasiyo na maana.

Kwa kifupi:

Agnostiki inajikita katika kutokuwa na uhakika kuhusu uwepo wa Mungu.

Ignostiki inasisitiza kwamba dhana ya Mungu haijatosheleza au haieleweki vya kutosha hata kuzungumzia.

Hivyo, ingawa zote zinahusiana na maswali ya kimaadili na kidini, agnostiki inalenga katika ukweli na uhalisia wa kujua, wakati ignostiki inataka ufafanuzi wa wazi wa dhana ya Mungu kabla ya kujadili.
 
Safi sana Mkuu Umechambua Vizuri Kabisa..
Nimefurahi angalau Hawa watu utawapa Picha wajue Kuwa Agnostic, Ignostic na Atheist sio Kitu kimoja
 
Unaposema Hakuna Kupatana Unamaanisha Umeamua Vita..
Mijadala Sio Vita

Bado una umakini mdogo sana katika mjadala, nimetumia tamko kwa minajili ya wewe kusema kwamba nita wapata wengine sio wote, Sasa soma mtiririko wa maelezo yangu vizuri utaelewa sijamaanisha vita.
uko sahihi Imani Ikithibitika Haiitwi Imani tena..
inaitwa Facts na Facts Zikiwa Nyingi Zinaunda maarifa (Knowledge)

Hii sio kweli kabisa ndio maana nimekwambia idurisi tena maana ya Imani. Imani sahihi hutanguliwa na elimu yaani ujuzi, kisha kauli au kitendo unakifungamanisha moyoni. Hii ndio Imani Sasa.
Sasa Unachanganya Imani Na Doctrine ..
Kajifunze maana Ya Haya Maneno matano ukimaliza Njoo kwenye Mjadala..

Kajifunze maana Ya Beliefs, Facts, Inference,Knowledge na Doctrine..

Doctrine ni Mkusanyiko wa Imani Nyingi ambazo mara Nyingi hazina Ithibati ila Inference Ni Mkusanyiko wa Facts na Logical conclusiom zenye Facts..

Dini zote Ni Doctrine na Sio Inference..

Na Nikuongeze Palipo na Inference Faith/Believe haikai kabisa

Haya ndio matatizo ya kutojua maana za maneno. Ungeyaweka maneno haya katika lugha Moja, kidogo ungeleta maana katika ulichokiandika. Mfano Imani na Itikadi, unaposema Doctrine hii ni lugha nyingine ambayo ukiileta kwenye Kiswahili ni Imani hiyo hiyo. Sasa jaribu kutumia lugha Moja ili uepukane na makosa kama haya.

Natamani hata hiki unachokiandika ungekuwa unakielewa maana naona unazunguka na hujibu hoja ya msingi, umekuja kuleta msamiati tena. Hayo yote nayafahamu ndio maana nipo hapa kwenye mjadala.
 
Huyo kisai ni Bogus fulani mwenye itikadi kali za uislamu.

Wala haelewagi.

Nimecheka sana sio kwamba sielewi bali huna hoja, angalia mtiririko wa mjadala na huyo uliye mnukuu, Kuna sehemu nimeunga mkono sababu yuko sahihi na Kuna sehemu nimemkosoa tena kwa hoja na ubainifu.

Sasa wewe unapokosa hoja kwa ujinga wako usilete malalamiko ya kuwa sielewi.

Mpaka nimefika hapa mengi siyajui na ninaendelea kujifunza kwa wale ambao wanajua na sio kwa watu kama nyinyi ambao hamjui kitu zaidi ya kucheza na maneno na kuleta msamiati wa mantiki ambao unakimbia hoja.
 
Hii sio kweli kabisa ndio maana nimekwambia idurisi tena maana ya Imani. Imani sahihi hutanguliwa na elimu yaani ujuzi, kisha kauli au kitendo unakifungamanisha moyoni. Hii ndio Imani Sasa.
Kwa Hoja Hii Nathibitisha Kuwa Kuna Mstari mdogo sana Kati ya wanayosema Kuhusu Wewe Na Wewe halisi Ulivyo..
(Rejea kauli ya Inforpren...)

Ni dhahiri Nimegundua Hata Unachokitetea Hujui Maana Yake na Hata unachokisimamia Hukitambui..
Kwanza Kabisa Hakuna Imani Sahihi..
Kwa sababu Imani zote zinatokana na internal experience, Kama mwenyewe Ulivyotaja kufungamanisha Moyoni..

Sasa Kitu kilicho ndani ya mtu mmoja mmoja hakiwezi kulingana Baadhi ya mtu na mtu kama hakiwezi kulingana hakuna Kilicho sahihi au Kisicho sahihi..

Kwa mfano Hakuna Universal Standard ha Utamu Kwa sababu Vionja Utamu Taste buds Zinatofautiana so Huwezi kuniambia Huu ndo Utamu wa Kweli sasa...

Labda Tuzungumze kilicho thabiti yaani Imani Madhubuti..

Mimi nachoona Hujui Hata Unachoongea wala unachotetea..

Ulichozungumza Ni circle ya Faith/believe With Doctrine..
Doctrine kwa Kiswahili ni Mafundisho ama Dogma au Maandiko au Unaweza ukaita Utakavyo Hata Itikadi(Itiqad)..

sasa kwakuwa Sijafa Niko tayari Kukueleza..

Ujuzi unaouongelea na Kuutambia kwamba Lazima kwanza Upate elimu ndo upate Imani ni Ujuzi au Elimu ambayo kwa lugha Ya kigiriki Tunauita "PseudoSophia" au Unaweza Kuuita kwa Kuipamba kama Doctine..
Ila Elimu yyoyote ambayo Haina ithibati (Haina Uthibitisho wa Hoja Zake Ni PseudoSophia
Na mara Nyingi aina Mojawapo wa PseudoSophia ni Doctrine yaani Mafundisho ya Kidini..

Kwa Sababu Imani Zake hazijathibitishwa na Kuwa Facts..
Na Ndo maana Hata Science za Kwenye Dini Tunaita PseudoScience kwa sababu baada ya Kuthibitisha Imegundulika hazina Ukweli wowote..

So Twende kwenye Circle ya Imani Mpaka Doctrine mpaka kuwa PseudoSophia..

Nakupa Mfano:-

Baada ya Mtu kuanzisha Imani Yake Lets say nikasema naamini kwamba Babu yangu Mzee Kombo au Mzee ngazija Ananiangalia Hapa nilipo na Kuniletea Kila nitakachoomba na Kila siku ananipa Maelekezo..ya Nini nifanye maishani mwangu na Ameniambia Niandike Haya mambo na Niwafundishe watu haya mambo yote..

So Mimi nitaamini Kwamba Mzee Kombo au Mzee Ngazija wananitembelea Na Kunipa Maelekezo na wenzangu pia wanaoniamini Mimi wataamini Hivyo..

Baada ya Kuamini Hivyo Tutatengeza Mafundisho kuwafundisha wenzetu kuhusu Imani yetu Lets call it Mzee Ngazija..
Saaa Imani yetu ya Mzee Ngazija ikaendelea na Ikakuwa kwenye Kijiji chote..

Unategemea Mtu Atakayetaka Kujiunga na Imani ya Mzee Ngazija kwanza Anatakiwa Afanyaje??

Anatakiwa Afundishwe kwanza ili ajue anadeal na Nini na Baadae Awe na Itiqadi kama yetu sisi..

So Inaendelea Ile ile Circle ambayo mwanzo ilianza na Mtu mmoja kuota kutokewa na Mzee Ngazija..

Kwa Hiyo ukiangalia Chanzo unagundua Kimeanza na Mtu mmoja kuhisi au Kusema alionana na Mzee ngazija...

Lengo langu mimi Sio Kumu "out smart" Msomi wa Mafundisho ya Mzee Ngazija Lengo ni kutaka Kujua Ithibati Uthibitisho wa Huyo aliyesema aliongea na Mzee ngazija Je Kweli aliongea naye na una uhakika Upi kwamba Hayo maneno ni kweli ya Babu yake au ni yake ???

Kwahyo hata Ikipita Miaka 1000 na Imani Mzee ngazija Ikiwa Bado imesimama Swali linabaki pale pale yule Mtu wa Kwanza Una uhakika Gani kwamba aliongea na Mzee Ngazija..

Ipi.Ithibati ya Maneno yake..na Unathibitishaje maneno yake na Hiyo ndo maana Ya Imani..

Nafikiri Leo Tujikite kwenye Huu Mjadala
 
Back
Top Bottom