Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

sitaki unikubalie nimekuuliza nini chanzo cha ulimwengu,hewa na maji
nipe majibu ya hayo maswali
Hoja ya chanzo ni hoja dhaifu sana.

Kwa sababu, katika quantum physics kwenye quantum causal loops hoja ya chanzo si muhimu.

Kitu A kinaweza kuwa chanzo cha kitu B, na kitu B kikawa sababu ya kuwapo kitu A.

Hapo viwili hivyo vyote ni vyanzo vya vingine, A imesababisha B na B imesababisha A.

Hoja yako ya chanzo imejikita katika "cause and effect". Quantum Causal Loop inaonesha cause and effect si muhimu.

Soma zaidi hapa


Pia, swali lako la chanzo cha ulimwengu lina assume ulimwengu una chanzo, unajuaje ulimwengu una chanzo? Kwa nini una assume tu kuwa ulimwengu una chanzo?
 
na mimi nikitumia dhana hiyohiyo ya kuamini uwepo wa Mungu kuna shida gn?

kwann utakake nimuoneshe alipo? ww unaweza kunionesha upepo na sauti ilipo na ipoje umbo lake?
Walatini wanaita "Non-sequital" yaani kujibu tofauti na unachoulizwa.


Haya nakujibu- upepo unatokana na miti, na Sauti inatoka kwenye koromeo.


Haya muda wa kujibu sasa swali langu na wewe, jibu swali ndipo uulize swali kama navyofanya mimi.


Nini chanzo cha Mungu.
 
mimi sijui chanzo cha Mungu.
 
kwahy Quantum physics ndy chanzo cha ulimwengu?

kama huna jibu si unasema tu sijui sasa nieleweshe hy Quantum physics ilifanyaje fanyaje hadi ulimwengu ukawa hivi.
 
Hujathibitisha, unalazimisha tu.

Thibitisha yupo, usilete kauli za kiimani tu.
mwanzo kbs nilitaka unijibu maswali yangu kwsbb hayo maswali ndy yanabeba dhana ya Mungu yupo au hayupo.
 
mwanzo kbs nilitaka unijibu maswali yangu kwsbb hayo maswali ndy yanabeba dhana ya Mungu yupo au hayupo.
Maswali yako ya chanzo nimekujibu, ila wewe hujanijibu.

Kama suala la chanzo ni muhimu sana, chanzo cha Mungu ni nini?

Hujajibu.
 
Kutuma jazba na kebehi kutaka wengine waamini utakavyo ni ujinga Sio thambi kuamini hakuna Mungu, anahitajibuaikisho ili aamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…