Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

Wewe si daktari wewe, mtu akiumwa ugojwa wowote si lazima utafuta visababishi, na ndivyo ilivyo uwepo wa mambo kadha si alinacha na matokeo ya utendaji flani
Uwepo wa Bahari au Baadhi ya Maziwa mengine hayakuumbwa kama unavyohisi Mkuu..

Kwa mfano zamani Afrika ilikuwa Imeungana na Asia upande wa Mashariki ya Kati ila walijenga Mfereji Kuipata Suezi kanali ambayo itafanya mto mkubwa au Bahari au mfereji mkubwa ambao utatenganisha hayo mabara mawili na haikujengwa zamani ni karne ya 20 tu..

So kuna Baadhi ya Vitu uwepo wake umefanywa na Mwanadamu..
 
Me pia ni mmoja wao
Mpuuzi Mimi Kabisa
Lakini inabidi ujue maana ya neno MUNGU
Pia inabidi ujue kuhusu DINI ni utamaduni
Mwisho,hakuna Mungu Bali kuna Creator ambaye alitupatia Uhai ili tuishi kwa kuenjoy na tufuate sheria za kiulimwengu tuweze kuishi vizuri zaidi.
 
Ukishakufa hayo mambo ya kusomewa au kutosomewa ni sherehe ya waliobaki, aliyekufa hata hajui nini kinaendelea by all scientific evidence.

Mimi kwetu wanajua siamini uwapo wa Mungu. Huwa nawanunulia vitabu vya kuonesha Mungu hayupo nawapa zawadi.
 
Ukishakufa hayo mambo ya kusomewa au kutosomewa ni sherehe ya waliobaki, aliyekufa hata hajui nini kinaendelea by all scientific evidence.

Mimi kwetu wanajua siamini uwapo wa Mungu. Huwa nawanunulia vitabu vya kuonesha Mungu hayupo nawapa zawadi.
Unahisi ni kitu gani kikitokea kwenye maisha yako utaamini Mungu yupo?
 
Unahisi ni kitu gani kikitokea kwenye maisha yako utaamini Mungu yupo?
Sotaki kuamini, nataka kujua ukweli.

Imani unaweza kuamini chochote, unaweza kuamini hata uongo.

Ndiyo maana watu wengi wanaweza kuwa na imani tofauti, na wote wakawa sawa kwa muktadha wa imani.

Imani haihitaji kuwa ukweli.

Imani ni haki ya kibinadamu.

Mimi sitaki imani, nataka kujua ukweli.
 
Kuna facts ndogo sana z uwepo wa mungu... kwan kutikwa ndo nn
 
Ni lini kwenye maisha yako ulianza kuamini Mungu hayupo I mean kuna kitu kilikukuta au basi tu you just decided?
 
Kama ukweli gani au ishara gani ambayo ingebadilisha mtizamo wako?
 
Kitu kikiwa na jina ni ishara ya kwanza KIPO
Nashindwa Kuelewa Wengine Elimu mliipataje?
Kwamba Kitu kikiwa na Jina ni ishara Kipo??
Ok Kuna Nchi inaitwa Gotham umewahi Kuisikia??

Katika kutoa majina sio lazima kuwa na uthibitisho wa Uwepo wa Kitu..
Kuna name by Emprical existence hapa ndo Majina yote ambayo ungetumia Kauli ya Jina lolote Lenye Emprical existence lazima Objects inayotajwa Iwepo..

Kuna Majina ambayo tunaita ni name by Concepts Of Existence (Yaani Majina yanayotokana na Dhana)..

Kwa mfano nikisema Zamani Kulikuwa na Dunia Ilikuwa Ikiitwa Pangaea au Kama wasukuma Wana hadithi zao walizokuwa wanaita majitu kama Shing'weng'we Na ukienda Kwa watani zangu wasukuma ukieleza ama kuuliza kuhusu Shing'we ngwe Utapewa Taarifa ila Hakukuwahi kuexist Hizo hadithi wala kuwepo..

Ila ilikuwa Ni njia ya Kufundisha maadili kupitia vitisho kwa vijana..
So Kuna Majina huweza Kutungwa kwa Makubaliano ili kuweka dhahania fikirishi na Kuumba kitu kilicho subjected na Hiyo dhahania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…