Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
KivipiNature ndo Mungu mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipiNature ndo Mungu mwenyewe.
ila jinsi mungu alivyoumba kila kitu kwa ustadi wa hali ya juu wanasema ni nature, ushuuzi!
Umeshamuona mungu?Hapiti kila sehemu lakini utaratibu wa uundaji wake na matendo ndiyo maana tunawambia anastahili kushukuliwa, hiyo ni miongoni mwa mifano midogo kati ya mikubwa ambao yote kwa ujumla ndio maana tunawasisitiza ndugu zetu
Nakuelewa na hoja kimsingi haina tija, ina amasisha ubishani,Kwa akili yako fupi achana na ya kimungu hii dunia imeumbwa kwa ustadi mkubwa? With all that's going on huo ustadi unauona wapi? Tufanye mungu akupe shift kwa siku moja tu hutobadilisha kitu?
Nakuelewa na hoja kimsingi haina tija, ina amasisha ubishani,
Mean, me na Ke wanaweza kutengeneza kiumbe mwengine. kwamba, ndani ya umbali flani kutoka usawa wa bahari kuna O2, gravity effect ndani ya eneo flani linalozunguka dunia,.......Kivipi
Kwahiyo amuabudu kwa sababu tu unahitaji kumuona?Umeshamuona mungu?
Umepewa uhuru wa kufanya unachotaka katika ukomo wa ubinadamu wakoKwanza Mungu hakumpa kila mtu uhuru wa kufanya anachotaka.
Hatunanuhuru wa kufanya tunachotaka.
Wewe huna uhuru wa kurudi mwaka 1982.
Kwa hiyo hizo habari za Mungu katupa uhuru wa kufanya tunachotaka si kweli.
Mtu aliyekufa mwaka 1982 hana uhuru wa kujiunga na JF leo tuongee naye.
Swali la msingi ni hili.
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya wakati aliweza kuuumba ulimwengu huu uwe hauwezi kuwa na mabaya?
Kila kitu kipo wazi wewe umechagua upande mmoja unajua ndo ukweli umechagua kuto kuamini tu kwa hoja zisizo kuwa na msingi umekuwa kama wayahudi walipoambiwa habari za mtume ajae atakuwa mwarabu wakamkata kabla ajazaliwa kwa ubinasfi wao na kueneza ujinga!Mungu na shetani ni mambo ya kutungwa...hakuna mtu anajua tulitokea wapi.
Kwahyo.Yupi sahihi Muhindu ambaye anaamini kwa Mungu na Dini yake yenye Miaka zaidi ya 6000 au Mwislamu mwenye Dini yake yenye Miaka 1500 ay Mkristo mwenye Dini yake yenye Miaka 1900s au Myahudi Mwenye Dini yenye Miaka 2000 mpaka 3000?Uwezi kumzunguzia mungu wa kweli kwenye kitu ama jambo sababu yeye si kitu ama jambo, wao baniani sijui nani wanaabudu vitu ambavyo wameunda wenyewe sisi tuna muabudu yule aliye tuumba siye, ukirudi kwenye swali sisi tuna muamini na kumuabudu mungu aliye juu tena juu zaidi ya kila alivyo viumba zaidi ya mambo yote ambayo tunayaendea mbioo, na hutuwezi kumuabudu mungu wa kuundwa au kutengezwa, na kaweka bayana mungu kama miungu hao wengine unao wasema miungu ya uongo yeye ni mmoja hajazaa wala hajaazaliwa kasema kwamba hajafanana na yoyote na hii ni kwa imani yangu ya kiislam, niambie bayana ipi unaisema wewe wakati mungu mbona kaweka wangu kaweka bayana, sasa kwa akili zako kwa bayana hii utataka kusema au kuhoji kwanini hazai, yeye si binadamu ni mungu habari za kuzaa na yeye wapi na wapi natamani uniulize zaidi
Kumbe Uhuru Una Ukomo 🤣🤣🙌🙌🙌Umepewa uhuru wa kufanya unachotaka katika ukomo wa ubinadamu wako
Kila kitu kilichopo ndani ya uwezo wa kibinadamu umepewa uhuru wa kufanya kiwe kizuru au kibaya
Hayo unayo Sema wewe sijui urudi nyuma miaka ya 1980 hayo yapo nje ya uwezo wa ubinadamu wako
Huo ulimwengu wenye mazuri tupu Kwa Sasa upo ila sio Kwa binadamu ni Kwa malaika ulimwengu wa malaika una mazuri matupu labda kama na wewe unataka uwe malaika
Wewe binadamu hapa sio mwisho hapa unapita tu na hapa upo katika mtihani ukifaulu utaenda katika ulimwengu wenye mazuri tupu na ukifeli Jahanamu inakusuburi
Kituo chako Cha kwanza
Ulianza maisha katika tumbo la mama yako yalikuwa maisha ya Raha sana Hadi siku uliyotolewa katika hayo maisha ukawa unalia maana mwili wako ulitambua kabisa kuwa Sasa unaingia katika tabu
Kituo chako Cha pili
Ni hapa Duniani hapa Duniani ndio umepewa uhuru wa kufanya unachotaka na kuchagua unataka kuishi maisha gani Baada ya maisha haya ya Duniani
Kituo chako Cha tatu
Ni kaburini utaka ukisubiri siku ya hukumu ifike
Kituo chako Cha nne
Ni peponi au motoni
Na huko ni maisha ya milele hakutokuwa na kufa tena iwe upo peponi au motoni utaishi milele
Ni jibu tulitokea wapi?Kila kitu kipo wazi wewe umechagua upande mmoja unajua ndo ukweli umechagua kuto kuamini tu kwa hoja zisizo kuwa na msingi umekuwa kama wayahudi walipoambiwa habari za mtume ajae atakuwa mwarabu wakamkata kabla ajazaliwa kwa ubinasfi wao na kueneza ujinga!
siku moja ntakuja na uzii wake
Hiyo ni imani ni mambo yasiyo na uthibitishoKwahiyo amuabudu kwa sababu tu unahitaji kumuona?
Nishakueleza mungu wa kweli ni yupi utachagua wewe uzuri umepewa akili!Kwahyo.Yupi sahihi Muhindu ambaye anaamini kwa Mungu na Dini yake yenye Miaka zaidi ya 6000 au Mwislamu mwenye Dini yake yenye Miaka 1500 ay Mkristo mwenye Dini yake yenye Miaka 1900s au Myahudi Mwenye Dini yenye Miaka 2000 mpaka 3000?
Maana Nachoona Kila Mtu anavutia Kwake kuwa Mungu wake ni wa kweli kuliko mwingine..
Wahindi Wako wa Dini nyingi sana na hawaabudu Kitu chochote walichtengeneza
Usithibitisho upo, na wa wazi kabisaHiyo ni imani ni mambo yasiyo na uthibitisho
ikiwa serikali yako si kila jambo unaweza kufanya katika nchi hii, so ata mungu amekupa uhuru na mipaka yakoKumbe Uhuru Una Ukomo 🤣🤣🙌🙌🙌
Mi nikajua uhuru maana Yake ni Maamuzi yasiyo na Kikomo 🙌🙌
Soma vitabu mungu wa kweli hata wewe una haki kwakeKumbe Uhuru Una Ukomo 🤣🤣🙌🙌🙌
Mi nikajua uhuru maana Yake ni Maamuzi yasiyo na Kikomo 🙌🙌