Ukweli ulio na logical consistency.
Usio na contradiction.
Dhana ya sasa ya kuwepo Mungu, hususan kuanzia na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ina contradiction, haina logical consistency.
Contradiction moja kubwa ni The Problem of Evil, ambayo nimeielezea hapo juu.
Contradiction hii haijapatiwa ufumbuzi mpaka leo. Inaonesha huyo Mungu hayupo ndiyo maana contradiction hii haijapatiwa ufumbuzi.
Ila, katika uzi huu, kufanya mazungumzo ya kifalsafa ya logical consistency, contradiction, the problem of evil, etc, na watu wengi, ni kazi ngumu.
Kwa sababu watu wengi hawaelewi au hawajali haya mambo.
Watu wengi hapa hawaelewi hata The Problem of Evil ni nini.
Wangeelewa, nisingekuwa na kazi kubwa sana ya kujieleza.