Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

Lilamba asali tu hili..!
Kuna wakati asali hugeuka shubiri hasa pale inapozidi ndani ya tumbo..
Wanatumia mgongo wa nchi maskini kujinufaisha wao binafsi; huku wananchi maskini wakilia ugumu wa maisha kutokana na miundombinu mibovu, ukosefu wa huduma bora za kijamii nk.
 
Una biti Sana kwenye Taifa la watu wasio serious! So far, ni kweli kuwa filamu ya Royal tour iliyoonyeshwa US ni tofauti na hii tuliyoonyeshwa Jana pale posts?
 
Hoja yako iko wapi?

Unapenda sana kuandika lundo la maandishi yasiyo na mantiki yoyote.
 
Una matatizo ya AKILI.

Tafuta mwanasaikolojia akusaidie.
 
Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.

Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.

Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).

Karibu Kama kweli una hoja.
Hatuhangaiki na viongozi wa mpito leta hoja nyingine
 
Kwa nn anakuwa na kauli zakuwavunja moyo raia badala yakuwapa matumaini mf vitu vitapanda bei sana.
Kwa nn hapa Tanganyika vitu bei zipo juu tofauti na Zanzibar mf mafuta hapa yamepanda kule hayajapanda
Kauli za kutokuvunja moyo Ni kama zipi?
 
Tafuta nchi yoyote duniani ambako watu hawalipi Kodi na ushuru.

Na kwa jinsi unavyodhani kuna urahisi mkubwa sana, nakuhurumia huko nyuma.
 
Mkuu
Asante KWA uzi
Lini FDR atachukua uskani kutoka KWA mama Samia!!?kama uandishi wa miamba humu jf kama Tumia akili na wengineo!!!?
Kwanini Kuna watu mmeamua kabisa vichwa vyenu kufugia nywele pekee
 
Hatuhangaiki na viongozi wa mpito leta hoja nyingine
Haya aliyaongea Babu yako, wewe mjuu utayaongea na mjukuu wako atayaongea maana mmeamua kuwa ukoo wa kijinga mnaoishi kwa ramli na matarajio yasiyokuwepo.
 
Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana.

Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri.

Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts).

Karibu Kama kweli una hoja.
Sasa mbona utakuwa mkali sana
Mbona wengine tupo humu kitambo hatuna sababu ya kujivuna
Hebu tulia wee mjiunga 2013 Tulizana khe
Kwani unakimbiza mwenge humu
Twende polepole ahahahah
Usitufokee bana
 
Kwani kuna sheria inayomlazimisha mtu kumpenda rais hasa ikizingatiwa ni rais aliyepatikana kwa uchaguzi haramu, wa kibabe na kihuni. Kama unamkubali wewe inakutosha ya wengine waachie wenyewe
 
Kwani kuna sheria inayomlazimisha mtu kumpenda rais hasa ikizingatiwa ni rais aliyepatikana kwa uchaguzi haramu, wa kibabe na kihuni. Kama unamkubali wewe inakutosha ya wengine waachie wenyewe
Hapa nazungumzia ukosoaji wa kihayawani. Sizungumzi kumpemda Rais.

Jifunze kusoma vizuri mada.
 
Sasa mbona utakuwa mkali sana
Mbona wengine tupo humu kitambo hatuna sababu ya kujivuna
Hebu tulia wee mjiunga 2013 Tulizana khe
Kwani unakimbiza mwenge humu
Twende polepole ahahahah
Usitufokee bana
Unatokea Dar au Arusha?
 
Hapa nazungumzia ukosoaji wa kihayawani. Sizungumzi kumpemda Rais.

Jifunze kusoma vizuri mada.
Wewe mwenyewe uandishi wako ni wa kihayawani, huenda unvuta bangi kabla ya kushiba
 
Mbona awaparui waliotafuna kodi zetu kupitia ufisadi, huoni kukaa kwake kimya ni kupromote upigaji.
 
Haya aliyaongea Babu yako, wewe mjuu utayaongea na mjukuu wako atayaongea maana mmeamua kuwa ukoo wa kijinga mnaoishi kwa ramli na matarajio yasiyokuwepo.
Ni rais wa mpito hata yeye anajua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…