Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Inahusika sana na Online payment kulingana na za hapa nyumbani kukosa vigezo
ukitaka kufund na kuwithdraw hiyo line yako unafanyaje kwahapa bongo?Yani naitaji kuingiza pesa kwenye line yangu ya safaricom ili niweze kufanya manunuzi online kupitia paypal na nikitaka kutoa pesa kutoka paypal kupitia safaricom kwahapa bongo inakuaje naomba ufafanuzi kidogo.
 
Aha sawa nmekuelewa! Ukitaka kufund unaitumia pesa hiyo laini yako ya Safaricom kama kawaida, Utaitumia pesa kutoka MPESA yako ya Vodacom TZ kwenda MPESA Kenya, then una TopUp account yako ya PayPal na TopUp ni instant... Lakini kuwithdraw pesa kutoka PayPal to MPESA huwa ndani ya masaa mawili tu unapata pesa zako M-pesa ya Safaricom then unaituma kwenye Vodacom M-PESA ili utoe kama kawaida, na charges za kutoa Safaricom MPESA kuja Vodacom MPESA huwa ni around KES23/= tu, ni kama TZS700/= Kwa kila muamala, Haya ni maelekezo tu unaweza ona kama vile kuna mzunguko sana lakini ni kazi ya ndani ya Dk 1 tu ukishapata pesa zako M-pesa ya Safaricom! Nadhani umenielewa mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😛😛😛😛 Hahaha nimekupata sasa maana pale mwanzo uliniacha njia panda Mkuu.
 
Aiseee nilikuwa nafikiria kuanzisha uzi.... lakini mpaka hapa... tatizo langu litatatuliwa siyo muda... nahitaji hii laini mkuu... japo nipo mbali kdg... ila kama week mbele nitakuwa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unairoam mkuu... wala haina shida hata kama upo songea au mtwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umemuambia aiseeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo tumia visa au mastercard mkui... acha kufanya maisha kuwa magumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umemuambia aiseeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado hizo line unazo nilikuwa nahitaji kama zipo tuwasiliane nikutumie pesa
 
Hata mimi ninahitaji.
Lakini nina swali kwanza.
Nataka niitumie hiyo line kuwithdraw na kudeposit kwenye a/c yangu ya 1xbet je itawezekana na mimi nimeisajili hiyo a/c kwa no ya bongo na kwenye country nimesect Tz.
Nikipata majibu ya uhakika nitachukua line
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…