iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Si unafanya kama kawaida tu ukisha link na Safaricom MPESA mambo yote unaweza... Kufund laini yako ya Safaricom utatumia Vodacom MPESA [emoji116]ukitaka kufund na kuwithdraw hiyo line yako unafanyaje kwahapa bongo?
Sent using Jamii Forums mobile app