Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya
Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi.
Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa kauli, Misimamo, au namna unavyoendesha siasa zako.
Ni tahadhari kwa wanaompenda Tundu Lissu.
Awe makini kwani maadui zake Kisiasa, kwani bado wapo, wengine hawana vyeo, na wengine anawatengeneza kwenye matumaini yake ya kisiasa.
Huwezi chukulia kila mtu ni rafiki yako hata ambao uliwahi waumiza hapo zamani kwenye maamuzi ya chama na nje ya Chama au hata kwenye nafasi mbali mbali za maamuzi.
Nimeshangaa jana katua Airport anahojiwa kama Celebrity na leo naona anapiga picha mtandaoni yupo na random people, huku maji huku Soda huku chakula, ni ngumu sana kuwa na usalama wa uhakika kwenye mazingira hayo.
Lakini kukaribisha watu tofauti tofauti nyumbani kwako bila mpangilio unaoeleweka kwamba wanakuja kukuunga mkono...
Ni hatari sana katika kipindi chote kwenye siasa hasa ukiwa mwanasiasa vocal and confrontational kama Tundu.
Jukumu la Usalama wake linaanza na yeye mwenyewe...
Kuna "kulogwa" , na kuchukuliwa "nyota", awe makini.
Picha zote: Hisani ya X