Kwa wanaompenda Tundu Lissu Mwambieni aache kuishi kama Celebrity maadui zake Kisiasa bado wapo

huyu mropokaji amelewa sifa, kama vile mrema....ameshasahau kuwa waliompiga risasi bado sababu za kumpiga risasi ziko pale pale...it was because of his uropokaji!
 
Kwasasa muuaji wa Lissu ni mmoja tu naye ni mzee wa hai mtoa uhai
 
For once nakubalian na wewe, una hoja muhimu na kma wewe umeliandika hapa, basi huenda hilo limeshafanyika.
 
Wakiamua hana namna, mita za maji anawekewa na serikali, na maji hayo anayaoga kila siku, gari lake anaoshea carwash za mitaani, wakiamua kumchekecha wanamaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…