Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

Kwa wanaovaa condom haifiki mwisho! Ile sehemu inayobaki wazi haiwezi kukupelekea kupata maambukizi?

Najiuliza swali hili hili. Kuna jamaa yangu mmoja anakwambia yeye anatumia kondomi akipiga nyeto inakuwa tamu hatari 😆

Salamu sana kwa "Demi". Mbalizi 1 hajamBoh!
Kondom linaondoa radha ya tendo la ndoa yaani nikivaa sijisikii kama mkunyenge umeingia kunako bibi na baby wangu anasema hivyo hivyo haisi kitu.tumeacha kutumia hilo pila kitambo, napiga kavu naenjoy vibaya
 
Wakuu swali hili.

Kama ushawai tumia kondom utaungana na mimi sehemu ya mwishi karibu na shina condom huwa haifiki na hii kupelekea wakat wa tendo kulowa au kugusana maji maji

Je hii haiwezi sababisha maambukiizi
Umri huu unatumia condom Badoo
Paka asalili kabla ya game palee mbelee kula mzigooo
Nikokwa wakala WA gari za corona na special hire nalipa ukipata maambukizii
 
Nadhani hizi Condom zilipaswa kwenda JAPAN maumbile yao yanaendana na Condom size ya Sasa . kiukweli Huwa napata Tabu Sana kuivaa lakini najitahidi Sana Bora kuvaa kuliko kuivaa na kupata STI
 
Back
Top Bottom