Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

Mwanamke awe na pesa au asiwe na pesa mradi akileta dharau na ukamkanya lakini hasikii wwe fukuza tafuta mwingine mwenye adabu zake hata Kama mna Watoto,jali heshima yako kwanza!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Yaani watoto ndio wanaoniumiza kichwa, visa vyake nimeshavizoea

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
kuhusu watoto ni excuse unayoitumia kuficha weaknesses yako Kwake.
watoto ni kitu gani? assume umeua li-mtu then chukua nguo zako ondoka.
usisitize na uukumbushe moyo wako kuwa unamsala wa kuua mtu, utapata ujasili wa kuondoka bila kujali watoto.
 
Dar ndugu story yako ina cha kujifunza sana ukiwa na ajira tengeneza ajira ya pili Ili ya. Kwanza ulipotea uwe na ajira ya pili hakika kuna wanokukejeli lakini Ujumbe wako umetoa funzo kubwa kwa wengi nikiwemo mimi
Ushauri wangu
Usikate tamaa mke wako anakupenda sana hata kama ameonesha dalili hizo bado mpende mpe maneno ya matumaini ipo sku utatoboa kimaisha
Kaa chini na yeye mweleze malengo yako kwa kutumia kipato chake hata kama ni mkopo mchukue mfungue mradi wa pamoja ambao wewe utausimamia mfano nunua bajaji endesha utapata hela
Au sjui uko mkoa gani angalia fursa iliyopo utatoboa tu ndugu muombe mungu pia najua unapitia kipindi kigumu sana ila binafsi namuona mke wako ni jimbe / hazina kubwa kwako usimchukie mpe mawazo mtie moyo angekua hakupendi hapo nyumbani ingekua umeshaondoka
 
Yaani we jamaa utafkiri uliingi kwenye ubongo wangu, kwa kweli hali nayopitia ni mungu tu anajua lkn sikati tamaa
 
Tuna watoto na ukisema nisepe watoto watateseka, kuna kipindi nilifikiria kusepa lkn lilipokuja suala la watoto ikabidi niwe mpole. Napitia kipindi kigumu sn

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kama anakuletea dharau na hataki kubadilika mtie adabu kidogo,mpee kichapo na fukuza yeye ndani ya Nyumba na hata akitaka kuondoka na Watoto,wwe mwache aende nao,alafu usimuoneshe sana mkeo kua unamapenzi sana na Watoto, maana kupitia Watoto ndiyo atapokua anakunyanyasia!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa mtunza kumbukumbu, Masijala kwenye halmashauri moja hapa nchini tz, magu alipoingia mzigoni ndio kama mlivosikia kilichotokea kwa wafanyakazi wa Tz.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Nilikuwa mtunza kumbukumbu, Masijala kwenye halmashauri moja hapa nchini tz, magu alipoingia mzigoni ndio kama mlivosikia kilichotokea kwa wafanyakazi wa Tz.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app

Mkuu kuna uzembe umeufanya lazima ukubali. Tangu magu atumbue ni miaka 5 sasa imekuwaje umeshindwa kujifunza ujuzi wowote au gata biashara ? Mkeo amekuvumilua sna kusema ukweli.
Chukulia wewe kuna ndugu yako wa kiume kaja kukaa kwako miaka 5 hana ishu ya maana anayoifanya je ungemvumilia ?
 
Tena anaogopa wale aliokuwa anafnya nao kazi watamcheka utadhani wanamsaidia.
Ukishatumbuliwa wale staff sio ndugu zsko tena wala wasikuzoee kabisa anza maisha mspya hata kuwa kuli.
Anashindwa hata kuuza maji kibamba nk.
Me sieaonei haya my ex stuff mate, sema wengi ni masnich wkt tupo wote job tulikuwa karibu sn na kusaidiana kwa hali na mali lkn sasa hivi hata simu zangu hawapokei

Kuna mwingine mwezi uliopita baada ya mshahara kutoka nilimuomba aniazime elf30 nitamrudishia alinichijia baharini kwa kusema kwamba nitarejeshaje pesa yake wkt sina kazi

Yaani nyumbani moto na kwa wana pia moto, nakumbuka kipindi nipo job skuwa na noma kwenye kuwakopesha washikaj
 
True, huu ni ukweli mchungu sana ila ni dawa. Hata hivyo wanawake tukumbuke tuna kaka zetu pia, unachomfanyia mtoto wa watu fikiria akifanyiwa hivyo wa kwenu, Labda kama haujali kuhusu wengine.

Mimi binafsi kaka yangu enzi za ujana alikataa kazi ya serikali akakimbilia NGO's. Kama ujuavyo kule mikataba mingi ni 3-5 years, ikiisha msoto wa kutafuta kazi uko pale pale kama hamjawin project nyingine, Kumekuwa na changamoto kwenye ndoa yao hasa jamaa anapokuwa hana kazi, na sio kwamba mke ana kazi, no hana ni mama wa nyumbani 24/7 na si mtu anayeweza kufanya kazi au biashara yoyote (sisi kama familia tulishajaribu kupush hili limeshindikana kabisa) as for me kuna kipindi i was willing hata kumpa mtaji, mama pia alikubali tuchange mtaji tumpe alitujibu anataka mtaji wa kufungua boutique!!!!! Yaani haujawahi miliki hata kiosk gafla unataka boutique! na pia hatuna mtaji wa kumpa kufungua boutique labda tungejipiga pia sana zingepatikana 4-5M aanze na biashara ya kawaida akakataa. (okay nisimuongelee sana maana sisi ni mawifi nisijeambiwa namchukia)

Back to their life, Hata mumewe akiwa na kazi maisha yao yote hawajawahi kusave hata 200k kwa mwezi sababu ya matumizi ya hovyo hovyo waliyonayo, yakiwakuta mzigo unarudi kwetu (mimi na mama) Hayo manyanyaso hadi marafiki wa bro wanampigia mama kumwambia kwanini umemuacha mtoto wako ananyanyaswa hivi na mkewe? Ohh huwa nafanya kila linalowezekana kwa uwezo wangu huyu kaka apate kazi au deals maana ndio namna pekee wanaweza kusurvive na angalau wakawa na amani. To my brother alioa slay queen form two failure anavuna alichopanda and he is too weak kumsimamia mkewe hana anachoweza kumwambia mkewe akasikilizwa.

Back to me, nimejifunza kuwa kama kweli unawapenda ndugu zako na kuwajali, ni habari mbaya sana kusikia wananyanyasika in the name of NDOA, bora mtu asiwe na ndoa kuliko kunyanyasika kwenye ndoa, Nimejipanga kuhakikisha nitamsaidia huyu "mtoto wa mtu" Kama yakimkuta (ambayo siyaombei), nitamsaidia tu kuongea na watu kumconnect kwa huyu na huyu, deal hili na lile, hata hivyo kujipanga mapema kusimamisha "chetu kikubwa" ukiachana na hivi vidogo vidogo vilivyopo.

I once saw my mama crying alivyoambiwa habari za mwanae, it was a bad feeling kwangu na inanitesa hadi leo hii. Mwenyezi Mungu awasimamie wanaume na awape mkate wao wa kila siku, tena hawa wanaume zetu wa kiafrica hawa, kipato kwao kimefanywa kama vazi, kama hawana wanaonwa uchi kabisa. Guys its sad.

Mleta mada pambana, ikishindikana akapambanie huko mbele ya safari, ukiondoka usipofanikiwa kurudi kwa habari ya watoto utakuja kuwaeleza na wataelewa hata wasiooelewa dhamira yako iko clean. Jitahidini kwa kadri muwezavyo kulinda afya ya akili zenu.
 
Nikiwaza kipindi cha nyuma nilipokuwa naichakata mbususu halafu huwa ana squirt na Mimi huo ndio ugonjwa wangu mnaonipa ushauri wa kumuacha nawa zoom tu,

Kuacha kitu ulichokizoea sio jambo Dogo wajuba, though nashukuru kwa ushauri wenu
 
Kama kuna kitu cha thamani hapo nyumbani uza halafu pesa yote peleka sadaka kwenye kanisa la ufufuo na uzima kwa mzee wetu Gwajiboy halafu baada ya wiki uje hapa utoe ushuda jinsi ulivyofurumushwa home na my wife wako.
😀😀😀
 
Ningekuwa wewe niliposikia tu kauli ya kwamba "natamani ningemuoa mimi" kwanza ningemshukuru Mungu kwa kunipa masikio,pili ningemshukuru Mungu kwa fursa ya kusikia na kuuona uhalisia wa huyo niliyekuwa najidanganya kwamba ni "Mke" tatu ningefanya uamuzi fulan very constructive. Ni jambo baya sana kwa mwanaume kujidegrade eti kisa kipato chako kimeshuka na bla bla nyingine zinazofanana na hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…