Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahaha dah hapo pagumu ila mwambie we unang’oa so atafte beki tatu wa ku handle watoto.Kama nilivyosema hatuna bek3 na yy anashinda job ana ni treat as if me ndio bek3 wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha dah hapo pagumu ila mwambie we unang’oa so atafte beki tatu wa ku handle watoto.Kama nilivyosema hatuna bek3 na yy anashinda job ana ni treat as if me ndio bek3 wake
Mwanamke awe na pesa au asiwe na pesa mradi akileta dharau na ukamkanya lakini hasikii wwe fukuza tafuta mwingine mwenye adabu zake hata Kama mna Watoto,jali heshima yako kwanza!!Hawa viumbe kuishi nao tabu sana,mnaolalamika kaeni mjue kwamba hawa hawakuumbwa waje kulisha watu nje ya damu zao hata nyie mnaokula good time siku inakuja ombeni Mungu aendelee kuwapa utulivu ktk utafutaji wenu....i mean,mf:akizaa mtoto atamuhudumia 100% uwezo akiwa nao,baba/mama yake (damu yake halisi) atawahudumia kwa 100% bila kulalamika ila kukutunza wewe uliyekaa naye akiwa goli kipa hata miaka kumi hujawahi kumfanyia vituko hawezi.
Omba Mungu akusimamie ktk utafutaji wako ufanikiwe huyo akiendelea kuleta dharau na majivuno fukuza uanze upya siyo dhambi.
Chura ipo tena msambwanda wa hajaHamna mkuu ni katika harakati tu za kurudisha mambo yakae sawa.
Samahani mkuu naomba kuuliza sio kwa lengo baya,
Mkeo ana chura kubwa?
Kama ana chura ya maana we endelea tu kuvumilia ipo siku mambo yatakaa sawa.
Utafukuza nyumba ikiwa yako! Kama wamepangisha je!?Mwanamke awe na pesa au asiwe na pesa mradi akileta dharau na ukamkanya lakini hasikii wwe fukuza tafuta mwingine mwenye adabu zake hata Kama mna Watoto,jali heshima yako kwanza!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Basi vumilia tu mkuu yatakwisha, ila katika maisha yako usije kukubali kunyanyaswa na mwanamke ambae hana msambwanda.Chura ipo tena msambwanda wa haja
Huo mtihani mwingine ssSi muda mrefu utaletewa zawafi ya VVU endelea kumpenda tu.
kuhusu watoto ni excuse unayoitumia kuficha weaknesses yako Kwake.Yaani watoto ndio wanaoniumiza kichwa, visa vyake nimeshavizoea
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Yaani we jamaa utafkiri uliingi kwenye ubongo wangu, kwa kweli hali nayopitia ni mungu tu anajua lkn sikati tamaaPole mtoa mada.
Wengi walioachishwa kazi huwa wanapitia changamoto kama zako toka kwa wake zao.
Kwenye maelezo yako ya awali inaonyesha ulipoachishwa kazi mkeo alianza kwa kukusaidia - (Hapo alifanya vizuri na hicho ndio kilikuwa ni kipimo tosha kuwa umeoa mke au galasa - (Maisha ya Ndoa lazima yapitie vipindi vya Shida na Raha)
Kwa tabia anazokuonyesha sasa ni dhahiri alikuvumilia kwa lengo la kukuona unachacharika kutafuta kazi. Kitendo cha wewe kukosa kazi ndicho kilichomchosha. Kumbuka asili ya mwanamke wao wamezoea kupokea sio kutoa. Wanawake galasa ndio wapo hivyo hata kama kazi na kipato alichonacho kilitokana na mchango wako.
Suluhisho ni wewe kuvumilia hizo kero kwa muda na kupambana kutafuta shughuli ya kukuingizia kipato.
Sumu kubwa kwa mkeo ni pale atapofikia wakati wa kukuonyesha wazi kuwa anachepuka na mtu mwingine.
Wanaume wakipitia changamoto za hivi halafu wakija kupata kazi, Ndoa zao huwa zitakufa Maana kumbukumbu mbaya huwa hazitoki kichwani na kupelekea mahusiano yenu kufikia tamati.
Kama anakuletea dharau na hataki kubadilika mtie adabu kidogo,mpee kichapo na fukuza yeye ndani ya Nyumba na hata akitaka kuondoka na Watoto,wwe mwache aende nao,alafu usimuoneshe sana mkeo kua unamapenzi sana na Watoto, maana kupitia Watoto ndiyo atapokua anakunyanyasia!!Tuna watoto na ukisema nisepe watoto watateseka, kuna kipindi nilifikiria kusepa lkn lilipokuja suala la watoto ikabidi niwe mpole. Napitia kipindi kigumu sn
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Epuka kutafuta heshima kupitia pesa,heshima huja yenyewe kutegemeana na misimamo yako kwa Jamii hadi kwa familia yako!!Nifanyeje sasa ili heshima yangu irudi kama zamani
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Nilikuwa mtunza kumbukumbu, Masijala kwenye halmashauri moja hapa nchini tz, magu alipoingia mzigoni ndio kama mlivosikia kilichotokea kwa wafanyakazi wa Tz.
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Nilikuwa mtunza kumbukumbu, Masijala kwenye halmashauri moja hapa nchini tz, magu alipoingia mzigoni ndio kama mlivosikia kilichotokea kwa wafanyakazi wa Tz.
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Me sieaonei haya my ex stuff mate, sema wengi ni masnich wkt tupo wote job tulikuwa karibu sn na kusaidiana kwa hali na mali lkn sasa hivi hata simu zangu hawapokeiTena anaogopa wale aliokuwa anafnya nao kazi watamcheka utadhani wanamsaidia.
Ukishatumbuliwa wale staff sio ndugu zsko tena wala wasikuzoee kabisa anza maisha mspya hata kuwa kuli.
Anashindwa hata kuuza maji kibamba nk.
True, huu ni ukweli mchungu sana ila ni dawa. Hata hivyo wanawake tukumbuke tuna kaka zetu pia, unachomfanyia mtoto wa watu fikiria akifanyiwa hivyo wa kwenu, Labda kama haujali kuhusu wengine.Taifa lipi hilo ni utapeli tu! Yani mara mia mwanaume awe bread winner ataokoa mke na ukoo wake mzima ila mke hapana kwa kweli!
Wanawake wana kinai haraka sana kutoa misaada yani tena kwa mwanaume wake. Bora hata ndugu zake atalia lia ila anawapa msaada hata kwa hela zako mumewe ila mume ukifulia you are doomed!
Rafiki wa kweli wa mwanaume ni pesa tu. Hatakuacha hata dunia nzima ikikutenga
uwe na helaNifanyeje sasa ili heshima yangu irudi kama zamani
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Nikiwaza kipindi cha nyuma nilipokuwa naichakata mbususu halafu huwa ana squirt na Mimi huo ndio ugonjwa wangu mnaonipa ushauri wa kumuacha nawa zoom tu,Tabu ipi wakati huna mchango?
Tafuta gheto wala usimuage kaa huko fanya mishe zako, kama atakuja kukutafuta nenda kamsalimie kisha rudi gheto kwako jitegemee, tafuta vyako, kula vyako, vaa vyako mbona unakuwa bwege!
Mwanamke hamjazaliwa tumbo moja mwache na mambo yake awe huru wewe katafute pesa kwa ajili ya watoto wako kwenda shule.
Nyie wanaume msoo na michepuko mnakuwaga mafala sana, mnapelekeshwa atakuletea bwana ndani ndio uisome namba.
😀😀😀Kama kuna kitu cha thamani hapo nyumbani uza halafu pesa yote peleka sadaka kwenye kanisa la ufufuo na uzima kwa mzee wetu Gwajiboy halafu baada ya wiki uje hapa utoe ushuda jinsi ulivyofurumushwa home na my wife wako.
Ningekuwa wewe niliposikia tu kauli ya kwamba "natamani ningemuoa mimi" kwanza ningemshukuru Mungu kwa kunipa masikio,pili ningemshukuru Mungu kwa fursa ya kusikia na kuuona uhalisia wa huyo niliyekuwa najidanganya kwamba ni "Mke" tatu ningefanya uamuzi fulan very constructive. Ni jambo baya sana kwa mwanaume kujidegrade eti kisa kipato chako kimeshuka na bla bla nyingine zinazofanana na hizo.Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.
Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.
Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.
Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,
Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.
Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.
Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,
Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.
Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.
Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.
Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,
Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,
Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.
Umeona eeeh, na kweli tumepanga na mlipaji mkubwa wa kodi ni yy Mimi kipato changu hakitosheleziUtafukuza nyumba ikiwa yako! Kama wamepangisha je!?