Tatizo alipata Mke limbukeni wa Maisha, ndiyo wanavyokuwaga hivyo, mwisho wa siku nao wanaishia shimoni na hawezi kutoka bila msaada wako tena!!Atakufa huyu na hata hao watoto hata waona wakikua. Hivi MNAJUA mwanamke akishafika hii step kinachofuata ni kuhakikisha unakufa mapema. Unataka kwenye msiba Wako waseme umekufa kishujaa kWa kukaa na kiumbe kama huyo. Huo ni Upuuzi.
Na hapo kwenye msambwanda naona ndio kuna kifungo changu kinachofanya nisipindur mezaBasi vumilia tu mkuu yatakwisha, ila katika maisha yako usije kukubali kunyanyaswa na mwanamke ambae hana msambwanda.
Hapa nimejifunza kwamba shida sio hali ngumu ya kifedha uliyo nayo bali shida ni "wewe"Kwahiyo unataka kusema visa vitaongezeka zaidi ya hapa as long as sina mkwanja, ila jua hii sio chai ni kweli nayapitia, tena kuna siku alirudi usiku sana alidai kuwa alikuwa kwenye kikao cha harusi lkn hakuniaga kama alikwenda kwenye kikao cha harusi,
Alirudi mida mibaya ikanibidi nimsubirie kumfungulia mlango, yy sio mnywaji wa pombe lkn niliskia harufu ya pombe kutoka kinywa chake, nilipojaribu kuhoji hakunijbu alijitupa tu kitandani na kwanza kukoroma
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Sasa sijaua ndugukuhusu watoto ni excuse unayoitumia kuficha weaknesses yako Kwake.
watoto ni kitu gani? assume umeua li-mtu then chukua nguo zako ondoka.
usisitize na uukumbushe moyo wako kuwa unamsala wa kuua mtu, utapata ujasili wa kuondoka bila kujali watoto.
Jamaa anaongea Kama KETabu ipi wakati huna mchango?
Tafuta gheto wala usimuage kaa huko fanya mishe zako, kama atakuja kukutafuta nenda kamsalimie kisha rudi gheto kwako jitegemee, tafuta vyako, kula vyako, vaa vyako mbona unakuwa bwege!
Mwanamke hamjazaliwa tumbo moja mwache na mambo yake awe huru wewe katafute pesa kwa ajili ya watoto wako kwenda shule.
Nyie wanaume msoo na michepuko mnakuwaga mafala sana, mnapelekeshwa atakuletea bwana ndani ndio uisome namba.
Ndio hapo pagumu yani sio rahisi kufukuza mke aisee! Ila ni rahisi kuzikimbia stress zake kwa kuanza na njia zako ili uchomoke kivingine.Umeona eeeh, na kweli tumepanga na mlipaji mkubwa wa kodi ni yy Mimi kipato changu hakitoshelezi
Pole dear. Njoo hapa Kariakoo sokoni uchukue pesa ya kulaSasa sijaua ndugu
Jamaa anaongea kilegevu huenda Majamaa ya mke yameanza kumla na yeye.Ndio hapo pagumu yani sio rahisi kufukuza mke aisee! Ila ni rahisi kuzikimbia stress zake kwa kuanza na njia zako ili uchomoke kivingine.
Pole,nnjoo nikupe pesa Kama hutaki kuzitafutaHii statement ya kuwaambia watu watafute pesa imekuwa too much humu jamvini. Kwani nani hatafuti pesa hadi aambiwe kuwa tafuta pesa? Muache huu uhuni.
Mimi sasa nakupa solution ya kudumu hakuna mtu mwingine atakusaidia msaada huu ninaokupa.Kama nilivyosema hatuna bek3 na yy anashinda job ana ni treat as if me ndio bek3 wake
Jamaa hana ujanja usimcheke! Yani huwa tunaita kuishiwa mbinu! Jamaa ameishiwa mbinu kwa hakika hajui hata akitoka aelekee wapi. Labda tungemshauri katika hayo mambo.Jamaa anaongea kilegevu huenda Mahakama ya mke yameanza kumla
Nyumba tunayoishi ni ya kupanga nikimtimua msala utabaki kwangu kwakuwa yy ndiye anaye run show, kodi ya nyumba na mahitaji mengine yy ndio provider Mkuu, mm kipato changu ni kidogo sn , sku mojamoja nikibahatisha ndio nakuja na mahitaji kidogo japo sio tosheleziKama anakuletea dharau na hataki kubadilika mtie adabu kidogo,mpee kichapo na fukuza yeye ndani ya Nyumba na hata akitaka kuondoka na Watoto,wwe mwache aende nao,alafu usimuoneshe sana mkeo kua unamapenzi sana na Watoto, maana kupitia Watoto ndiyo atapokua anakunyanyasia!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwamba akamfunge mkewe kiakili au sio? 😂😂😂 mambo ya kipemba hayo dah!Mimi sasa nakupa solution ya kudumu hakuna mtu mwingine atakusaidia msaada huu ninaokupa.
Naamini wewe ni mwislamu, sasa tafuta sheikh mwenye mke zaidi ya mmoja na hana kazi yoyote hapa mjini lakini wake zake wametulia tuli, wala hagongewi na wanaishi kwa amani.
Mueleze hii shida yako huyo ndio atakupa msaada wa kweli, atakupa siri kwa nini yeye hana kitu na ana mke zaidi ya mmoja na wote ni wazuri na hawamsumbui.
Hii dunia ione hivihivi watu wengi hawawezi kukwambia ukweli hii duniani wanafanyaje mpaka mambo yananyooka.
Facha nilichokwambia utakuja kunishukuru in future days.
Asante snPole sana
Akiachana nae kwa sasa huku hana kazi maalum, huu utakuwa sio ushauri mzuri.Kama anakuletea dharau na hataki kubadilika mtie adabu kidogo,mpee kichapo na fukuza yeye ndani ya Nyumba na hata akitaka kuondoka na Watoto,wwe mwache aende nao,alafu usimuoneshe sana mkeo kua unamapenzi sana na Watoto, maana kupitia Watoto ndiyo atapokua anakunyanyasia!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tena siku hio amuombe game tena amwambie kabisa ndio siku ya mwisho kumuomba gemu na baada ya hapo wasijuane zaidi ya kusalimiana tu., halafu awapigie simu wale rafiki zake kuwa jamaa kasepa ili wacheke na kufurahi vizuri.Hahahahaha dah hapo pagumu ila mwambie we unang’oa so atafte beki tatu wa ku handle watoto.
Yeye aliapa hivyo ili aolewe. Ila ukweli alikuwa nao moyoni mwake na ndio huo anakuonesha sasa.Lkn kwenye ndoa tuliapa tutaishi pamoja wkt wa shida na raha
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Misimamo ninayo lkn ni ipo hiyo mingine ambayo itakufanya mwanamme usiye na hela uheshimike kwa mwanamkeEpuka kutafuta heshima kupitia pesa,heshima huja yenyewe kutegemeana na misimamo yako kwa Jamii hadi kwa familia yako!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu mm niliamua kujiendeleza kielimu (self-sponsored) kwa ngazi ya Masters, Sasa nikayumba kiuchumi japo mke alikua na kazi. Nikaamua kufungua genge kisirisiri (maana mke wangu amejaa mdomo wa kubwabwaja&kukatisha tamaa). Nilipambana shule, kazi na Biashara mpaka Mei 2021 nikawa nimemaliza Masters huku mke hakui kilichoendelea.Jamaa hana ujanja usimcheke! Yani huwa tunaita kuishiwa mbinu! Jamaa ameishiwa mbinu kwa hakika hajui hata akitoka aelekee wapi. Labda tungemshauri katika hayo mambo.
Yah sahizi solution sio kuvimba! Ni kupanga mkakati wa kuwa unaondokanaje na hali hio ya kunyanyasika na mwanamke na sote tunajua chanzo ni kile kile, mke kalipa kodi yeye na luku ananunua yeye na chakula mezani ananunua mwenyewe wakati mwanaume yupo nae ndani!Akiachana nae kwa sasa huku hana kazi maalum, huu utakuwa sio ushauri mzuri.
Avumilie tu huku anachacharika kutafuta kazi kwanza. Hizo zarau anazokutana nazo chanzo chake ni yeye kutokuwa na fedha.
Atafute kazi kwanza kisha akipata ndio akunjue makucha hasa kuonyesha uanaume wake. Mungu huwa hamtupi mtu anaepitia hali kama hii.
Kumbuka huyu jamaa kwa sasa ana matatizo mawili ya kisaikolojia (kukosa kazi na kero za mke) ambayo angekuwa na mke bora yote yangetatuka kirahisi.