Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

Atakufa huyu na hata hao watoto hata waona wakikua. Hivi MNAJUA mwanamke akishafika hii step kinachofuata ni kuhakikisha unakufa mapema. Unataka kwenye msiba Wako waseme umekufa kishujaa kWa kukaa na kiumbe kama huyo. Huo ni Upuuzi.
Tatizo alipata Mke limbukeni wa Maisha, ndiyo wanavyokuwaga hivyo, mwisho wa siku nao wanaishia shimoni na hawezi kutoka bila msaada wako tena!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unataka kusema visa vitaongezeka zaidi ya hapa as long as sina mkwanja, ila jua hii sio chai ni kweli nayapitia, tena kuna siku alirudi usiku sana alidai kuwa alikuwa kwenye kikao cha harusi lkn hakuniaga kama alikwenda kwenye kikao cha harusi,

Alirudi mida mibaya ikanibidi nimsubirie kumfungulia mlango, yy sio mnywaji wa pombe lkn niliskia harufu ya pombe kutoka kinywa chake, nilipojaribu kuhoji hakunijbu alijitupa tu kitandani na kwanza kukoroma

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hapa nimejifunza kwamba shida sio hali ngumu ya kifedha uliyo nayo bali shida ni "wewe"
 
Tabu ipi wakati huna mchango?
Tafuta gheto wala usimuage kaa huko fanya mishe zako, kama atakuja kukutafuta nenda kamsalimie kisha rudi gheto kwako jitegemee, tafuta vyako, kula vyako, vaa vyako mbona unakuwa bwege!
Mwanamke hamjazaliwa tumbo moja mwache na mambo yake awe huru wewe katafute pesa kwa ajili ya watoto wako kwenda shule.
Nyie wanaume msoo na michepuko mnakuwaga mafala sana, mnapelekeshwa atakuletea bwana ndani ndio uisome namba.
Jamaa anaongea Kama KE
 
Kama nilivyosema hatuna bek3 na yy anashinda job ana ni treat as if me ndio bek3 wake
Mimi sasa nakupa solution ya kudumu hakuna mtu mwingine atakusaidia msaada huu ninaokupa.

Naamini wewe ni mwislamu, sasa tafuta sheikh mwenye mke zaidi ya mmoja na hana kazi yoyote hapa mjini lakini wake zake wametulia tuli, wala hagongewi na wanaishi kwa amani.

Mueleze hii shida yako huyo ndio atakupa msaada wa kweli, atakupa siri kwa nini yeye hana kitu na ana mke zaidi ya mmoja na wote ni wazuri na hawamsumbui.

Hii dunia ione hivihivi watu wengi hawawezi kukwambia ukweli hii duniani wanafanyaje mpaka mambo yananyooka.

Fanya nilichokwambia utakuja kunishukuru in future days.
 
Kama anakuletea dharau na hataki kubadilika mtie adabu kidogo,mpee kichapo na fukuza yeye ndani ya Nyumba na hata akitaka kuondoka na Watoto,wwe mwache aende nao,alafu usimuoneshe sana mkeo kua unamapenzi sana na Watoto, maana kupitia Watoto ndiyo atapokua anakunyanyasia!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nyumba tunayoishi ni ya kupanga nikimtimua msala utabaki kwangu kwakuwa yy ndiye anaye run show, kodi ya nyumba na mahitaji mengine yy ndio provider Mkuu, mm kipato changu ni kidogo sn , sku mojamoja nikibahatisha ndio nakuja na mahitaji kidogo japo sio toshelezi
 
Mimi sasa nakupa solution ya kudumu hakuna mtu mwingine atakusaidia msaada huu ninaokupa.

Naamini wewe ni mwislamu, sasa tafuta sheikh mwenye mke zaidi ya mmoja na hana kazi yoyote hapa mjini lakini wake zake wametulia tuli, wala hagongewi na wanaishi kwa amani.

Mueleze hii shida yako huyo ndio atakupa msaada wa kweli, atakupa siri kwa nini yeye hana kitu na ana mke zaidi ya mmoja na wote ni wazuri na hawamsumbui.

Hii dunia ione hivihivi watu wengi hawawezi kukwambia ukweli hii duniani wanafanyaje mpaka mambo yananyooka.

Facha nilichokwambia utakuja kunishukuru in future days.
Kwamba akamfunge mkewe kiakili au sio? 😂😂😂 mambo ya kipemba hayo dah!
 
Kama anakuletea dharau na hataki kubadilika mtie adabu kidogo,mpee kichapo na fukuza yeye ndani ya Nyumba na hata akitaka kuondoka na Watoto,wwe mwache aende nao,alafu usimuoneshe sana mkeo kua unamapenzi sana na Watoto, maana kupitia Watoto ndiyo atapokua anakunyanyasia!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Akiachana nae kwa sasa huku hana kazi maalum, huu utakuwa sio ushauri mzuri.

Avumilie tu huku anachacharika kutafuta kazi kwanza. Hizo zarau anazokutana nazo chanzo chake ni yeye kutokuwa na fedha.

Atafute kazi kwanza kisha akipata ndio akunjue makucha hasa kuonyesha uanaume wake. Mungu huwa hamtupi mtu anaepitia hali kama hii.

Kumbuka huyu jamaa kwa sasa ana matatizo mawili ya kisaikolojia ambayo yanamfanya aone Mtaani kuchungu na Nyumbani kuchungu (Kukosa kazi na Kero za mke) ambayo angekuwa na mke bora yote yangetatuka kirahisi.
 
Hahahahaha dah hapo pagumu ila mwambie we unang’oa so atafte beki tatu wa ku handle watoto.
Tena siku hio amuombe game tena amwambie kabisa ndio siku ya mwisho kumuomba gemu na baada ya hapo wasijuane zaidi ya kusalimiana tu., halafu awapigie simu wale rafiki zake kuwa jamaa kasepa ili wacheke na kufurahi vizuri.
 
Jamaa hana ujanja usimcheke! Yani huwa tunaita kuishiwa mbinu! Jamaa ameishiwa mbinu kwa hakika hajui hata akitoka aelekee wapi. Labda tungemshauri katika hayo mambo.
Mkuu mm niliamua kujiendeleza kielimu (self-sponsored) kwa ngazi ya Masters, Sasa nikayumba kiuchumi japo mke alikua na kazi. Nikaamua kufungua genge kisirisiri (maana mke wangu amejaa mdomo wa kubwabwaja&kukatisha tamaa). Nilipambana shule, kazi na Biashara mpaka Mei 2021 nikawa nimemaliza Masters huku mke hakui kilichoendelea.
**Kutafuta pesa hakuna aibu.
 
Akiachana nae kwa sasa huku hana kazi maalum, huu utakuwa sio ushauri mzuri.

Avumilie tu huku anachacharika kutafuta kazi kwanza. Hizo zarau anazokutana nazo chanzo chake ni yeye kutokuwa na fedha.

Atafute kazi kwanza kisha akipata ndio akunjue makucha hasa kuonyesha uanaume wake. Mungu huwa hamtupi mtu anaepitia hali kama hii.

Kumbuka huyu jamaa kwa sasa ana matatizo mawili ya kisaikolojia (kukosa kazi na kero za mke) ambayo angekuwa na mke bora yote yangetatuka kirahisi.
Yah sahizi solution sio kuvimba! Ni kupanga mkakati wa kuwa unaondokanaje na hali hio ya kunyanyasika na mwanamke na sote tunajua chanzo ni kile kile, mke kalipa kodi yeye na luku ananunua yeye na chakula mezani ananunua mwenyewe wakati mwanaume yupo nae ndani!
 
Back
Top Bottom