othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
- Thread starter
- #321
Mapenzi tuHuwezi kuwa unafua chupi za mkeo kama siyo Houseboy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi tuHuwezi kuwa unafua chupi za mkeo kama siyo Houseboy
Mapenzi au unapata ujira wa chakulaMapenzi tu
Mkuu watoto watateseka vipi wakati huwahudumii KWA hela Yako,yaani haipo.Tuna watoto na ukisema nisepe watoto watateseka, kuna kipindi nilifikiria kusepa lkn lilipokuja suala la watoto ikabidi niwe mpole. Napitia kipindi kigumu sn
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Sometimes huwa najichanya narudi na kiasi cha mboga lkh haki sustain na dharau ndio zinazidi tu
Jamani sio kama sichangii chochote kuna wkt huwa naotea narudi hata na mkate, samaki, nyama tuseme mboga kiujumla lkn sio consistency,Mkuu watoto watateseka vipi wakati huwahudumii KWA hela Yako,yaani haipo.
Pamoja mwamba kuna watu wanajua hii chai lkn ukweli ni kwamba ni kweli yamenikuta na napitia kipindi kigumuMwaka jana niliachwa na mpenzi wangu aliyekuwa mchumba wangu, nilikuwa sina hela, kazi zilisimama kwa hiyo nilikuwa kapuku haswaa. Aisee maneno niliyoyasikia sitakuja kumuamini mwanamke tena. Baada ya miezi kama 7 akanitafuta eti nimsamehe. Nilimsamehe lakini kila mtu na life yake, tukikumbukana tunawasilina au nikionana naye, lakini mapenzi hayapo tena kama ilivyokuwa mwanzo.
Chakula sio issue sn kwangu, watoto ndio issue kwanguMapenzi au unapata ujira wa chakula
Mbona cc tunawavumilia kipindi chote kwa shida na rahaNafikiri wanawake wengi wanaweza kuvumilia kuhudumia familia katika mazingira haya kwa muda Fulani pekee. Kuna threshold ikifika tunashindwa kuvumilia. Ndicho kili chotokea hapa.
Hapan kifinga kichwa ipo vizuri tu sema she cought me offguard sikutegemea kama ange change so suddenlymkuu tena bora akufukuze hapo yani umeshindwa kutafuta hata ajira ya udereva kichwa chako kimejaa maji
Naufanyia kazi ushauri wakombona hata saizi wanamchakata na chupi unafua fuga hata kuku wa kienyeji wakiwa wengi utauza mmoja kwa hata elfu kumi itakufanya uweze kuchangia hata hela ya umeme hapo home
Kuna muda huwa nachomoka ku hustle na huwa narudi na mkate na kitoweo ila sio consistentlyUnachozingua ni kushinda nyumbani.
Mwanaume kutafuta ni kila siku hakuna kushinda nyumbani mzee
UWe Unaondoka kila siku asubuhi, nenda katafute sio kukalisha trako tu
We hujui tu ndugu yangu usiombe yakukute, na sijui umeonaje kama nime relax sema tu mwenye shibe hamjui mwenye njaaHata mm hilo nmeliona the way jinsi anavyojib ni km karelax hv hana presha majib yake ni marahisi sana ila ni mtazamo tu
Funza dume ni kweli yamenikuta napitia kipindi kigumu sn dharau kwa mtu ambaye mlianza vizuri na ulitegemea muishi kwa amani sio jambo la kitoto... Mke anauma jamaniNimefuatilia ushauri mzuri unaotolewa na watu na majibu ya mtoa mada. Nimegundua stori yake si ya kweli. Ingawa ina mafunzo ndani yake ila si ya kweli ametunga tu na ni mtu mwenye upeo mdogo sana hawezi kusoma mindset za watoa ushauri na kwenda nao sawa.
Ni akili kubwa tu ndio watanielewa
Pole sana mkuu, wewe ni mwanaume usinung'unike sana, tulishaambiwa tutakula kwa jasho. Kwa hiyo mkuu haya tunapaswa kupitia ili kuwa wanaume kamili. Usife moyo mkuu, Mungu wa ajabu sana, Mungu haelezeki, lakini atakuvusha mpaka hutaamini ni wewe ulikuwa unamfulia mke wako?Pamoja mwamba kuna watu wanajua hii chai lkn ukweli ni kwamba ni kweli yamenikuta na napitia kipindi kigumu
We acha tu mwana kuna wadau wananiona mi boya lkn ukweli ni kwamba haki sio nzuri snKudharauliwa na mwanamke inauma kingese. Wanaume wote kwenye uzi huu ombeni Mungu sana msije kushuka kiuchumi, hapo ndiyo mtajua mlikuwa hamuwajui wanawake.