Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

Hahaha I'm still acting gently ujue.
Wanna do me a match making or?
Keep acting gently, your reward is forthcoming!!
..i'd really love to do a match making, but i still don't see the right man for you,
you are too good to enter into the lion's den...
 
Keep acting gently, your reward is forthcoming!!
..i'd really love to do a match making, but i still don't see the right man for you,
you are too good to enter into the lion's den...

Broc, God is the ultimate match maker eti, his choices are perfect. Kwa hiyo Kila kitu kipo under his control, si tuendelee tu na maisha
 
Kuna ndg. Yangu Blessings kapata mke humu humu na ana watoto wawili
 
Tunatfta suprise kwenye kona ya mapenz.



Likn pia wengi wanaotafta wanawake au wanaume hapa.huwa
Ni watu
*ambao hawako seriuos na mahusiano.
*wanastress/msongo wa mawazo baada ya kuachwa ghafla.
*ni watu wenye kasoro fulan hivi hasa kitabia,hivyo wanataka kuwa na watu wasiowahamu.
 
safi sana lunch ya leo bill kwangu nikumbushe mida
 
Haimaanishi kwamba wamekosa wapenzi huko mitaani bali wanatafuta kitu cha tofauti kidogo
 
binafsi sijawahi ku date mtu yeyote mtandaoni ila nimepata positive Experience mfano humu jf unaweza kujuana na mtu Mpaka usiamini macho yako
.
ni kweli kuna watoto wengi humu ila wachache niliobahatika kuwajuwa wako amazing staki kuwataja.

unakutana na mtu !(just a friend) muelewa, msomi ,anajiheshimu etc etc..yaan in short ni gentleman

note: mtu wa hivyo ni ngumu sana kukubari kuwajua in and out mpaka umjue inabidi uwe smart. ahaaaaaa hope utapita hapa.
 
Mwanamke/mwanaume anapatikana popote pale na haimanishi MTU kutafuta me/ke mtandaoni anakasoro au shida flani.

Maisha yanabadirika sana dunia ya Leo ya mzungu kila kitu kiko easy watu hawana muda WA kuanza kufutana kama kuku.na kukimbizana ovyoovyo tu .

Mapenz popote ili mradi muelewane tu katika makubaliano yenu tatizo wanawake/wanaume sasa wameshasahau majukumu yao ndio maana kila mtu anatafuta katika mitandao ili kama atapata angalau mwenye kujua kucare kidogo
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…