ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hahaha me mmbea hatari
It shall be well with you guys and by the grace of God, we shall witness your everlasting union. Keep on being good
What about you?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha me mmbea hatari
It shall be well with you guys and by the grace of God, we shall witness your everlasting union. Keep on being good
What about you?
Keep acting gently, your reward is forthcoming!!Hahaha I'm still acting gently ujue.
Wanna do me a match making or?
We umeshakubuhu wewe kutoka na mijanaume ya mitandaoni...nina waswas it's one your serous source of income.
We umeshakubuhu wewe kutoka na mijanaume ya mitandaoni...nina waswas it's one your serous source of income.
Keep acting gently, your reward is forthcoming!!
..i'd really love to do a match making, but i still don't see the right man for you,
you are too good to enter into the lion's den...
Ha ha ha mishe fresh mambo yanaendaje wanguoyaaaamishe vipiiiii??? hahahaha
Ha ha ha mishe fresh mambo yanaendaje wangu
umejificha Sana
Hakushindwa bana alikatwa ha ha ha hukuniona pale highway nlikua na dera la njanoNipo my dear...nimekuja kwenu kila nikipiga simu hupokei...au kwa sababu mgombea wangu alishindwa
Hakushindwa bana alikatwa ha ha ha hukuniona pale highway nlikua na dera la njano
safi sana lunch ya leo bill kwangu nikumbushe midaSwali la kitoto hili....online attraction is very unique...ina involve zaidi personality na brain...mtu anakuvutia kwa anayoyaongea akiwa very free since yuko anonymous....hujui huyo mtu ni professa au ni Secretary ..mtaani utam judge mtu na kabila lake au kazi yake..Attraction is not a choice
Mwanamke/mwanaume anapatikana popote pale na haimanishi MTU kutafuta me/ke mtandaoni anakasoro au shida flani.Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu?
Maana sielewi inakuaje hadi unakosa mwanamke huko unakoishi hadi unakuja kulia humu kwamba upweke unataka kukuua.
Mbona mabinti ni wengi sana na wanapatikana kwa urahisi au mimi tu ndio naona hivyo? Tatizo ni nini?
je;
1. Mmekosa sifa za mabinti mnaoishi/kusoma /kufanya nao kazi?
2. Mko bize sana na kazi/shule hadi mnakosa muda wa kusocialize na watu[wanawake] hadi kuwapata?
3. Mabinti hawapatikani huko mnakoishi[wachache na wameshachukuliwa na wengine]?
4. Hao mnaoishi,soma au kufanya nao kazi hawana vigezo vyenu?
5. Udomo zege?[kama ndio hivyo hizi mitandao zisingekuepo mngefanyaje?mngebaka?
Kwa kweli sielewi hasa mwanaume unakosaje binti huko hadi uje kulia upweke hapa. Kumbuka: simaanishi kwamba wa humu hawafai au hawatakiwi,ndio hao hao tunaoishi nao.
HahahaKwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu?