Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu




Wow! Mtoto mzuri ukihisi wewe umepata bwana huko nje usilazimishe na wengine wafanye kama ulivyofanya wewe!

Alafu sjui kwa nini waschana mnapenda sana umbea umbea na kuhitaji kujua mambo ambayo hayawahusu! Badilika bhana.

Sometimes muwe munaulizia facts na sio siri za watu binafsi kwa nini wamekosa ke huko nje. Na kama utafikiria kwa undani utagundua huku ndio sehemu sahihi na rahisi ya kupata ke wasomi na wenye kujua kuchanganua mambo ukiache wale ke vilaza ambao ni wachache humu ukiwemo na wewe!

Kama vipi wambie mashoga zako wasijiunge huku.
 
It is always interesting to meet some one new you never met before! Inachosha sanaa kutoka na watu unaowajua sababu unawajua tayari si loloye si chochote hawana jipya!

The devil you know is.....
 
wengi wao wanakuwa wanaugwadu wa muda so kutoa papuchi ni rahisi sana.
 
It is always interesting to meet some one new you never met before! Inachosha sanaa kutoka na watu unaowajua sababu unawajua tayari si loloye si chochote hawana jipya!

yani hapa dada lara kamalizaa...mtu unae mjua utasikia mara katembea na huyu,mara kapigwa mtungo,mara anangoma...ila hambae humjui kabisa habari zake huna na akuna anae mjua.so unacheck akiwa anavigezo unaweka kambi...kama just night stend poa..na kama hujarizika hata kumuona ndo hapo hapo unampotezea so haina kujuana tamuuu
 
Online relationships hazina tofauti na hizo relationships mnazoanzisha huko mitaani...
..Naumbuka first time kukutana na mtu online, nilijiambia well, let me see kama naweza kuwa rafiki tu..with time sikuweza kupitisha masaa mawili bila kupata mail/ujumbe wake, i'd feel miserable..lakini ulikuwa urafiki na tulikuwa bado kuonana...
..Baadae akawa sehemu ya maisha yangu na hatukuwa tunaongea mapenzi, it was total/pure friendship. Hata tulivyokutana mara ya kwanza it felt like she was part of me, tuliendeleza urafiki na baadae ndio nikagusia kuwa wapenzi..things worked out very well.

Tatizo kubwa naona watu wanachat leo, leo leo wanapanga kukutana..mwisho wake huwa si mzuri sana..
 

Nadhani hata mtoa mada hazungumzii mahusiano yanayoanza hivi....anazungumzia wanaobandika matangazo
 
Nitakuja na link baadae..India moja ya tatu ya ndoa zimeanzia online...UK ni moja ya nne....na nusu ya relationship zinaanzia online
 
naomba nichangie mm nionavyo,ujue dunia ya sasa watu wana changamoto sana,wakuta mwingine ni hiv positive na tanzania bado sana kunyosheana vidole,mtaani akianza jieleza inakuwa ahida lkn kwa mtandao mtu ni rahisi kujieleza maana hutojua hata alipo,lkn kwa mtu mzima huyo mtihani labda anakuwa hajatulia
 
Bado naamini hakuna ubaya kutafuta mpenz kwenye mtandao.. dunia sikuiz ni kijiji,, u can do anything while seated, bank transaction, pay bills, even getting loved one. Muhimu ni kuwa muangalifu tu, kewnye msafara wa mamba kenge hakosekani
 
Nitakuja na link baadae..India moja ya tatu ya ndoa zimeanzia online...UK ni moja ya nne....na nusu ya relationship zinaanzia online

Intaneti imebadili kabisa maisha ya watu. Licha ya kuwa kiunganishi cha watu kukutana na kuanzisha mahusiano, mtu unaweza kufanya mambo yako mengi tu kupitia intaneti bila kwenda popote.

Mimi nina miaka sasa sijaengia ndani ya jengo lolote lile la benki yangu. Huwa namaliza shughuli zote kwenye mtandao, drive-up window, na drive-up ATM.

Nalipa cable bill online, phone bill online, utility bill online, airline booking online, gym membership online (I can freeze and unfreeze my account online), set up doctor visits online....

I do a whole hell of a lot online. The internet has drastically revolutionized life.
 
Reactions: kui
wanaume wengine wanaotafuta wanawake mitandaoni ni waongo, na ukimkuta alie mkweli basi ujue ana tabia fulani ambazo huko mitaani hawezi kupata mwanamke

Mh.. mi siamin theory ya chagua kilichopo, naamin theory ya tafuta unachotaka
 

mkuu umepiga penyewe,yaani hapo umemaliza mwenye masikio na asikie:embarrassed:
 
Nadhani hata mtoa mada hazungumzii mahusiano yanayoanza hivi....anazungumzia wanaobandika matangazo
It's all the same, hata nikibandika tangazo haimaanishi tutaanza kukutana na kudinyana siku hiyo hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…