Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,346
Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu?
Maana sielewi inakuaje hadi unakosa mwanamke huko unakoishi hadi unakuja kulia humu kwamba upweke unataka kukuua.
Mbona mabinti ni wengi sana na wanapatikana kwa urahisi au mimi tu ndio naona hivyo? Tatizo ni nini?
je;
1. Mmekosa sifa za mabinti mnaoishi/kusoma /kufanya nao kazi?
2. Mko bize sana na kazi/shule hadi mnakosa muda wa kusocialize na watu[wanawake] hadi kuwapata?
3. Mabinti hawapatikani huko mnakoishi[wachache na wameshachukuliwa na wengine]?
4. Hao mnaoishi,soma au kufanya nao kazi hawana vigezo vyenu?
5. Udomo zege?[kama ndio hivyo hizi mitandao zisingekuepo mngefanyaje?mngebaka?
Kwa kweli sielewi hasa mwanaume unakosaje binti huko hadi uje kulia upweke hapa. Kumbuka: simaanishi kwamba wa humu hawafai au hawatakiwi,ndio hao hao tunaoishi nao.
Wow! Mtoto mzuri ukihisi wewe umepata bwana huko nje usilazimishe na wengine wafanye kama ulivyofanya wewe!
Alafu sjui kwa nini waschana mnapenda sana umbea umbea na kuhitaji kujua mambo ambayo hayawahusu! Badilika bhana.
Sometimes muwe munaulizia facts na sio siri za watu binafsi kwa nini wamekosa ke huko nje. Na kama utafikiria kwa undani utagundua huku ndio sehemu sahihi na rahisi ya kupata ke wasomi na wenye kujua kuchanganua mambo ukiache wale ke vilaza ambao ni wachache humu ukiwemo na wewe!
Kama vipi wambie mashoga zako wasijiunge huku.