Habari Jf,
Nimefanya utafiti kupitia jukwaa la MMU,hapa Jf hakuna mabinti wanaotafuta wanaume,wanaotafuta ni wanawake waliozalishwa na kutelekezwa,wengine wameachwa na wanaume kwa matatizo walionayo,umri wao ni zaidi ya 30yrs ila wanajitahidi sana kupunguza.
Utamsikia anasema ana 24yrs ili aonekane mdogo kumbe jua limeanza kuzama na anajutia alivyosumbua akiwa na umri chini ya 30yrs, halafu utamsikia sitaki mapenzi nataka niolewe wakati asali hakuna ni mzinga tupu.
Hakuna hata jipya,wanawake wanachanganyikiwa sana wakiona miaka inaenda hapati wa kuishi nae,nimeokoka nataka mume mwema wakati wewe hufai kuwa mke mwema.
USIKU MWEMA