Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Kwa Utaalam Wangu Uliotukuka Valentina Ndiyo Iyoka Na Hapa Anatuchezea Shere Tu Kwa Kuanzisha Uzi Kisha Kuujibu Haraka. Kwa Mfano Angalieni Threads Alizoanzisha Iyoka Na Interval Yake Kisha Muda Mfupi Tu Utamwona Valentina Anajibu. Ukishakuwa Mzoefu Wa Hii Mitandao Kumjua Mtu Na Ujanja Wake Ni Rahisi Mno.
Umelenga nini hasa ushauri ??? onyo ?? au bas tu umeandika
Wewe ni mume mwema? au hao wanawake wa jf wenye miaka 30.... hapaswi kupenda au kupendwa? je wewe una miaka mingapi? Good night na pole kama umevurugwa. Baba Magufuli njoo unyoshe watu maana mtu akikosa cha kuandika anaanzadis mama yake.
Hii sredi itakupunguzia umaarufu wako kwa wadada wa humu MMU
Mbona huyo Iyoka thread started ni hii moja tu.. hana thread nyingine
Heee! Kumbe wewe unatafuta uwema sepetu humu?
kwa hiyo kama ni ka yahayoataaje kwa mfano? uliambiwa kuzaa ni dhambi? huyo mkeo ulomzalisha ndie hana amani bora ukamwuliza why ana mchepuko?Utakuwa ni kati ya niliowasema,ukizalishwa unafaa kuwa mchepuko kwa asilimia chache kwasababu nawewe unapenda
kwa hiyo ulonae ni mwanaume mwenzio?Kumbe bado kuna wanawake wanaopenda? Maana naskia siku hizi hamna wanawake bali ni msambinungwa tu
Hii sredi itakupunguzia umaarufu wako kwa wadada wa humu MMU
Wewe ni loser, huwezi toa conclusion ya wooote 'kwa sampo' yako biased khs jf sheilas!
Wako mpk bikra humu ni bht mbaya yako pole na si vzr kujumuisha
Wadada cku hizi ni kama wacheza mpira wa kibongo lazima upinguze miaka ili mkataba uweleweke!
Na
Wanaume cku hizi ni T.F.F! Ukujumlisha .? Jibu kaanalo. Gd9t.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums