Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

Kudanganya umri ni utamafuni wa watanzania naona, sio wanawake wala wanaume, wote wana tabia ya kupenda kudanganya umri.
 

hahahah! Apo kwenye vibodi suti.
Ila izo sifa za mwanaume zipo kwenye kitabu gani vile nikazipitie?
 
mtoa mada in a sad mood&frustrated, wanawake kweli ni shiiida aisee wakitoa mimba uzi unaanzishwa, wakizaa wanataka kuwaua hahaaaaaa,
 
Ni bora huyo aliezaa kuliko anaetoa ili abaki kuonekana binti. Na kuna wadada wengi tu wamezaa lkn wanainekana mabinti kuliko ht hao ambao hawana watoto. Jaman kuzaa isiwe sbb ya kumnyanyapaa mtu,vijana acheni kukaa kila siku mnawaza kasoro za wanawake tu,mbona ht wanaume wenye watoto nao ni wengi au hao wadada wanazaa peke yao.
 
hivi JF ni kabila au nchi? maana nashangaa kusikia JF ina wanawake
 
Jiwe gizani lakini limewapata wengi na mapovu yanawatoka
 
Mi ntatafuta tu na wala siachi maneno yako hayatanipunguza kasi najua yupo tu anayejua namuhitaji humuhumu siwezi kumuacha kwa kusikiliza maneno yako.
 
Mi ntatafuta tu na wala siachi maneno yako hayatanipunguza kasi najua yupo tu anayejua namuhitaji humuhumu siwezi kumuacha kwa kusikiliza maneno yako.

Endelea ila ujue utakua mume mdogo au kwenye ahadi ya kufahamiana utaona kituko,utakutana na mtu urefu wake anafika kwenye kiuno chako,naye anataka mume mwema
 
Mkuu ukitaka umaarufu lazima ujulikane na mengine yanafuata. Hivo usione jamaa kama atapoteza out look yake kwa hii post, yawezekana ndiyo safari ya kujulikana hiyo.
Hii sredi itakupunguzia umaarufu wako kwa wadada wa humu MMU
 
As long as hawajakulazimisha uwaoe, basi fanya yanayokuhusu. Wenye Shida nao watawafata tu hata Kama wana Miaka 50. Jifunze kuheshimu hisia za wengine
 

Jamani unawaonea ..
Hata vitabu vya dini vinasema Make mwema anatoka kwa bwana..
Kwa hiyo hayo yaliyo achika huko kwa mabwana zao ndio wake wema
Once bite twice shy..
Nahitaji huyo
 

Hivi unakua na mwanamke aliyezarishwa na mtu mwingine alafu unaenjoy....tamu yake kabisa nouuuu .....mwanamke ni mwanamke tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…