binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Cc. lady nyatu njoo huku mama uone mambo, kesho tufanye kuifata hii product. Btw Zainab Tamim je product yako ina sild katika packeg zake? Nauliza hivi kwa sababu bidhaa inaweza kutoka kwako ikiwa katika ubora ule ule ila ikifika kwa agent akaichakachua hili ni la msingi kuliangalia maana Tanzania kila kitu kinawezekana.
Asanteee plz usisahau kunishtua ukifika mwanza
sh.ngapi aunt huo udongo?
Bei zetu ni 2,000 kwa paketi kwa sasa (promotion). Bei za wasambazaji zitatofautiana na bei zetu za promotion kwa sasa, kwani kuna gharama wanazoingia za usafirishaji na faida yao.
Kwa maelezo yoyote ya ziada wasiliana na Aunt Zainab 0769302206
Tazama post namba moja kuona utautapata wapi kwa karibu.
Karibu sana.
Asante
Zainab
asante,hyo elf 2 ni bei ya jumla na kuanzia kiwango gani?
Assalaam Alaykum bi Zainab,
Kwanza hongera kwa kuiona fursa na kuichangamkia.
Pili pia hongera kwa kufanya promotion humu bila kuchoka maana mimi wenyewe niiri nilikuwa naupita tu huu uzi kila siku nikidhani "ndio walewale" akina forever nini sijui.
Leo baada ya kuusoma nimevutiwa kumnunulia waubani na inshaallah tunaweza fanya biashara.
Asanteee plz usisahau kunishtua ukifika mwanza
Mwanza
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Arusha. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa.
Mama Alex au Bonge - 0768545736.
Hahah keshoo asap ntaufata mamiii,asante kwa kuniita