Kwa wanaume tu! Makosa haya 10 ya uvaaji yatakushushia "CV" yako, Yaepuke!

Kuna vijiuzi vinauzi humu japo kweli.. ila njaa niliyokuwa nayo nakosa hata mood ya kujikuta nimepangilia mavazi yangu lakini sura haina furaha kabisa full ma strees
 
Kubeba wallet iliyochakaa....
 
Sio mkuu. Hata kichaa anavaa nguo japo sio nadhifu. Kikubwa ni kutafuta pesa utanashaji utakuja wenyew
Mtoa mada ana mantiki.
Tumeona watu wengi wenye ukwasi lakini suala la kuvaa ni sifuri. Wengine hadi wanapekua! Sasa ukiuliza unaambiwa huyo kazipata mali kwa njia ya "ndagu" na hayo ndiyo masharti. Wengine wanalala sakafuni, kulala kwenye sponji mwiko, mali itakimbia! Unabaki unajiuliza kuwa ndiyo nini?
Kuwa na pesa ama kutafuta pesa hakuzuii personallity yako kuiweka "chicha", jipende upendeze na upendwe.
 
Hata kama uwe smart kiasi gani kama una miaka 25 alafu unakula kwa baba haisaidii
 
Hata kama uwe smart kiasi gani kama una miaka 25 alafu unakula kwa baba haisaidii
Usifanye majumuisho mkuu. Watu wako hadi miaka 30+ plus wanaishi kwa wazazi. Hii inatokana na familia kuwa na upendo kwa watoto na kuwafungulia au kusimamia miladi ya maendeleo kama maduka n.k. Hiyo ya kuondoka nyumbani quick as soon as you are matured ni familia kuwa na migogoro na maisha duni japo si zote
 
umefunguka vizuuuri sana
 
Kuna fashion ya suruali njiwa na viatu bila soksi
 
Ushauri mzuri., ila unataka upendwe tena[emoji12] na nani na kwa lipi sijaelewa
 
When Mark Zuckerberg asked about his clothing style he replied..i don't have time to choose what to wear or to iron for the sake of people's tensions... I always wear what is on top first in the bag........Ni sawa na kunipangia nisimalize kuku Ukweni [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
DUH.. KIINGEREZA HICHO
Hahhahahah 'umaridadi/utanashati unalipa' nimetafsiri neno kwa neno, si unajua kingereza chetu cha yes,no,of course,.... Mkuu embu weka hilo neno sawa labda nimekosea ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…