Kwa Wanawake na Wanaume ambao hawajawahi kuolewa wala kuoa

Lakin kuwa na bikra au kutokua nayo doesnt matter, mbn kuna people wanaoa had machangudoa na wanaishi kwa aman , n mipango tuu ya Mungu kama ulipangiwa kuolewa bikra itakua , kama ulipangiwa utakitembeza had mtu wa 20 ndo akuoe bas itakua
Mungu hawezi kupanga ujinga huo
 
Kabisa....ukiamka tuu upo jf kusoma uzi wa rikiboy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]Tena Kama hujapta wa kimasihara unarudia rudia ucopy mbinu za wanazengo wa Jf[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23]Tena Kama hujapta wa kimasihara unarudia rudia ucopy mbinu za wanazengo wa Jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Ah zile story kule zinaweza kufanya uaibike bure
 
Alisema hawezi kunioa bila mimba,nimebeba hajanioa.nafunga namba ya simu.UMEANDIKWA IVO
Hakuoi bila mimba..... hapo hakuna kitu


Niliwahi kusoma na kijana moja kutoka Kilimanjaro [Mchaga] at that time was in late 30s and was in service.... sasa wakati moja tukawa tunapiga story na his girlfriend nikaja kugunda the guy alikuwa ana mtoto yuko Secondary... na huyu siyo moja kuna kadhaa HUWA WANATAKA KUPATA WATOTO HALAFU WANAENDELEA KUSAKA MAISHA, siku akitoboa hata akiwa kwenye late 30s au early 40s ndiyo ataoa anayempenda kwa mbwembwe zote wakati wewe ushakuwa SINGLE MOTHER KITAMBO yaani na ushachuja...

Mwishowe unaamua ili Mardi mwanaume basi akijitokeza UKO TAYARI KWA NDOA...

Yaani kuna watu ni MAAGENT WA SHETANI ACHA TU.... atakudanganya kwa malovelove yote yaani, ukishabeba mimba anakuambia tulee tu mtoto mengine yatajulikana baadaye!!!!

Inasikitisha wasichana wengi hawajitambui sijui kuna shida gani!!!! Wengine wanazaa kwa operation wanabaki kuhangaika na makovu mwenzako anaendelea kula maisha!!!!

Wacha waendelea kudanganywa na kubaki na majeraha, tutafanyaje tukiwaambia dada zao hawasikii
 
Wengi sasa hivi tumekwisha pitia kwenye mahusiano ambayo yameacha majeraha kwenye mioyo yetu
Wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na majeraha na baadhi wakiwa bado na mahusiaono yaliyo fifia sehemu nyingine yani nikama moto umefunikwa kwa jivu upepo ukipita kinawaka
 
Ndoa nyingi watu wanatafuta na kulea tu watoto.... mapenzi hakuna!!!

Ndiyo maana kuchepuka ni issue ya muda tu
 
Ndoa nyingi watu wanatafuta na kulea tu watoto.... mapenzi hakuna!!!

Ndiyo maana kuchepuka ni issue ya muda tu
Kweli baadhi wanaingia sababu uhalisia unawataka wawepo uko hasa ukitizama umri wao ila kiakili wanakuwa bado hawajajiandaa kwahilo
Pia nirahisi kuamsha mahusiano na mtu ambaye ulikuwa na mahusiano naye tayari mfano unakuta mtu kabla ya kuowa/ kuolewa alikuwa tayari na mahusiano na watu 6
 
Very challenging times we're living in°°
 
Najali hisia zake ndio maana siwezi kuwa nae ingali simpendi na mimi lengo langu lilikuwa kuonja
 
Are you virgin?
 
Kama hujaolewa mie nipo tayari kukuwowa maana unamwaga point hatari
 
Ikiwa hivyo, huyo uliyemchezea hisia zake na mwili wake huoni tayari umeshamwachia makovu????

Huu ni Ufisadi kama ulivyo ufisadi mwingine
Najiulizaga swali; Hivi mtu ambaye hawezi kuwa mwaminifu kwa mtu mmoja [mwezi wake] anaweza kuwa mwaminifu kwa wengi [yaani akikabidhiwa dhamana ya ofisi au Mali ya umma atakuwa mwaminifu???]

Kwa kweli nina mashaka makubwa.....

Asilimia kubwa ya hawa wanaosema hawawezi kuoa bila kuonja UKIMKABIDHI OFISI YA UMMA lazima atulize maana kwake kitu kinachoitwa ETHICS, kusubiri au kujitoa kwa ajili ya wengine hana......
 
Wewe ni bikra??😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…