Miaka hyo ya 2000 hakuna movies nzr, zaidi ya story za hovyo.Mkuu upo mbali sana unazungumzia mambo ya miaka ya 90 huko. Hebu tafuta vitu vya post 2000 uone.
Kunawakati wa kuzaliwa, kunawati wa kufa.
Kafanya Mengi na Mchango wa hali na mali kwa Industry...
Vipi hakuwa muumini wa Hinduism..??
Ambao wengine hudai kunakuzaliwa awamu ya pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bollywood LEGEND KADER KHAN passes away at 81View attachment 983888
Picha za 2000 kurudi chini zilikuwa na story nzr sn..sasa hivi computer nyingi,,,hata nyimbo ZAO madisco disco tu...story sio za kuvutia nkUnamaanisha vipi mkuu
Picha za 2000 kurudi chini zilikuwa na story nzr sn..sasa hivi computer nyingi,,,hata nyimbo ZAO madisco disco tu...story sio za kuvutia nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu, ila hao TAMIL tangu zamani walijuwapo ila hawakuweza kufurukuta kipindi kile cha miaka ya 99 kurudi chini,,wale walio wengi Bollywood walikuwa ni HINDU na hawa TAMIL NA TELUGU hawakupewa nafasi nadhani sababu ya LUGHA, hao Tamil ni wale wahindi WEUSI ambao wapo BANGALORE na wanaongea LUGHA YA TAMIL, hawajuwi HINDU,wana TV, radio, ZAO kwa LUGHA ZAO, nadhani sasa baada ya BOLLYWOOD kukosa UBUNIFU, wameweza KUIBUKA.Mkuu unaonekanwa weye ni mdau wa vitu vya kale, Hamis Tamil na Telugu. Binafsi mabadiliko ya Bollywood nayakubali kabisa.
Unapozungumza kuwa Bollywood wamekosa ubunifu nashindwa kukufahamu kabisa, katika miaka last 20 years bollywood imepigia hatua sana mkuu.Ni kweli mkuu,,,ila hao TAMIL tangu zamani walijuwapo ila hawakuweza kufurukuta kipindi kile cha miaka ya 99 kurudi chini,,wale walio wengi Bollywood walikuwa ni HINDU. ,,na hawa TAMIL,,NA TELUGU hawakupewa nafasi nadhani sababu ya LUGHA, hao Tamil ni wale wahindi WEUSI ambao wapo BANGALOLE na wanaongea LUGHA YA TAMIL, hawajuwi HINDU, wana TV,radio,ZAO kwa LUGHA ZAO,, nadhani sasa baada ya BOLLYWOOD kukosa UBUNIFU, wameweza KUIBUKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua gani mkuu,,labda KUIGA mahadhi ya KIZUNGU?zamani ulikuwa ukiangalia movie,,,hadi UNATOKWA MACHOZI....now is no moreUnapozungumza kuwa Bollywood wamekosa ubunifu nashindwa kukufahamu kabisa, katika miaka last 20 years bollywood imepigia hatua sana mkuu.
Ila kwa wale wapenzi wa style za kizamani ndio wanaopata tabu, na ndio hao waliohamia Tamil na Telugu kwa sababu wao bado wameshindwa kubadilika kabisa.
Hatua gani mkuu,,labda KUIGA mahadhi ya KIZUNGU?zamani ulikuwa ukiangalia movie,,,hadi UNATOKWA MACHOZI....now is no more
Sent using Jamii Forums mobile app
Sholay was the best film of all time and the film put amitahb bachchan in mapKama umeangalia sholay au disco dancer ama kasam paida karne walek au shan na naseeb pana ladha huwezi kuipata kwa vijana wa sasa.
Kajor is my favorite.Mi nawapendaga wachuchu wao tu.
Tanushree Dutta, Rakhi Sawant.
Hata nyimbo ZAO,,,ulikiwa ukisikiliza ni hatari sn,,,nyimbo za sasa nyingi ni disco...UBUNIFU wa story ni ZERO.... wahusika wenyewe pia ni ZERO...tafuta MAIN TULSI TERE YAANGANI KI..rajesh khana,,,Ni hatari mkuu,,,love story,,Sholay was the best film of all time and the film put amitahb bachchan in map
But I was real disappointed after the death of amitabh bachchan in that film.
Ni KUCH KUCH HOTAHE, sio HODAHE. Ile film ilitamba sn, lakini story haikuwa Kali SNA, kuna film Fulani za sharukan inaitwa VEER ZEER, KAL HO NAO, INA story nzr sn kuliko hyo KUCH KUCH hotahe.Damn!
I cann't believe did i skip a pages or something else.
No one had mentioned Classic film called KUCH KUCH HODAE the film was acted by shah Rukn Han nd my wife Kajor.
Mtunzi alimtengeneza hivyo dharam (dharmendra )mwisho aliumia sana baada ya kugundua ile sarafu ilikuwa na vichwa pande zote amitha alikuwa mtu wa kujitoa sana katika filamu ileSholay was the best film of all time and the film put amitahb bachchan in map
But I was real disappointed after the death of amitabh bachchan in that film.
Umeweka avatar ya amjad khan hicho chuma penye sholay kilikuwa kibandidu sana pana sehemu hema malin alilazimishwa kutumbuiza juu ya jiwe kisha pakamwagwa vipande vya chupa anacheza huku dharam kafungwa kama anamuangalia kwa ghadhabu amjad khan wala hajali.Ni KUCH KUCH HOTAHE,,,sio HODAHE,,ile film ilitamba sn,,lakini story haikuwa Kali SNA,,,kuna film Fulani za sharukan inaitwa VEER ZEER,,KAL HO NAO,, INA story nzr sn kuliko hyo KUCH KUCH hotahe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah kitambo sana, Koyla sharuk khan jackahrofa na mmbwa.Kama umeangalia sholay au disco dancer ama kasam paida karne walek au shan na naseeb pana ladha huwezi kuipata kwa vijana wa sasa.
Naam jamaa walikuwa vizuri sana kipindi hichoDaaah kitambo sana, Koyla sharuk khan jackahrofa na mmbwa.