Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Bollywood LEGEND KADER KHAN passes away at 81View attachment 983888

Amefanya kazi nyingi 70's, 80's 90's. Pia ni writer ameandika script nyingi za story za michezo pamoja na dialogues.
Amecheza picha nyingi na Amitabh Bachchan zikiwemo Naseeb,Khoon Pasina, Muqaddar Ka Sikandar, Mr. Natwarlal, Hum, Do Aur Do Paanch, Kaalia, Sooryavansham
Pia amecheza picha nyingi na Govinda zikiwemo Hero No 1, Coolie No 1, Aankhen, Raja Babu ,
Baadhi ya filamu zake nyengine mashuhuri zikiwemo Baap Numbri Beta Dus Numbri, Kishen Kanhaiya, Main Khiladi Tu Anari, Ek Tha Raja ,Mr. and Mrs. Khiladi , Mujhse Shaadi Karogi , Khoon Bhari Maang

Baadhi ya film alizoziandika script zake. Amar Akbar Anthony , Khoon Pasina , Muqaddar Ka Sikandar , Suhaag , Mr. Natwarlal , Yaarana, Desh Premee, Lawaaris, Coolie, Sharaabi, Hatya , Khoon Bhari Maang , Bhai, Aunty No. 1
 
Kwa mwaka 2018 hii ndio top 3 yang ya bollywood movies:
1) Andhadhun
2) Sanju
3) Padman
Je ww top three yako ni ipi?
 
Mkuu unaonekanwa weye ni mdau wa vitu vya kale, Hamis Tamil na Telugu. Binafsi mabadiliko ya Bollywood nayakubali kabisa.
Ni kweli mkuu, ila hao TAMIL tangu zamani walijuwapo ila hawakuweza kufurukuta kipindi kile cha miaka ya 99 kurudi chini,,wale walio wengi Bollywood walikuwa ni HINDU na hawa TAMIL NA TELUGU hawakupewa nafasi nadhani sababu ya LUGHA, hao Tamil ni wale wahindi WEUSI ambao wapo BANGALORE na wanaongea LUGHA YA TAMIL, hawajuwi HINDU,wana TV, radio, ZAO kwa LUGHA ZAO, nadhani sasa baada ya BOLLYWOOD kukosa UBUNIFU, wameweza KUIBUKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu,,,ila hao TAMIL tangu zamani walijuwapo ila hawakuweza kufurukuta kipindi kile cha miaka ya 99 kurudi chini,,wale walio wengi Bollywood walikuwa ni HINDU. ,,na hawa TAMIL,,NA TELUGU hawakupewa nafasi nadhani sababu ya LUGHA, hao Tamil ni wale wahindi WEUSI ambao wapo BANGALOLE na wanaongea LUGHA YA TAMIL, hawajuwi HINDU, wana TV,radio,ZAO kwa LUGHA ZAO,, nadhani sasa baada ya BOLLYWOOD kukosa UBUNIFU, wameweza KUIBUKA

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapozungumza kuwa Bollywood wamekosa ubunifu nashindwa kukufahamu kabisa, katika miaka last 20 years bollywood imepigia hatua sana mkuu.

Ila kwa wale wapenzi wa style za kizamani ndio wanaopata tabu, na ndio hao waliohamia Tamil na Telugu kwa sababu wao bado wameshindwa kubadilika kabisa.
 
Unapozungumza kuwa Bollywood wamekosa ubunifu nashindwa kukufahamu kabisa, katika miaka last 20 years bollywood imepigia hatua sana mkuu.
Ila kwa wale wapenzi wa style za kizamani ndio wanaopata tabu, na ndio hao waliohamia Tamil na Telugu kwa sababu wao bado wameshindwa kubadilika kabisa.
Hatua gani mkuu,,labda KUIGA mahadhi ya KIZUNGU?zamani ulikuwa ukiangalia movie,,,hadi UNATOKWA MACHOZI....now is no more

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatua gani mkuu,,labda KUIGA mahadhi ya KIZUNGU?zamani ulikuwa ukiangalia movie,,,hadi UNATOKWA MACHOZI....now is no more

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, filamu za zamaani nyingi zilikua zipo kiformula zaidi, almost all films zilikua Masala films wanavozita. Hero, Heroine, Villan na Comedian. with Action,Musical,Romance,Drama, comedy vote ndani ya filmau moja. saivi wapo vizuri wanatengenza films za gender tafauti na kwa mazingira mazuri. Binafsi nazimisi zaidi films za 2000-2012. Last five years imekua mbovu kabisa, new generation wengi ni wabovu sana. Ma legend wengi wameshazeeka na kukaa pembeni.
 
Damn!

I cann't believe did i skip a pages or something else.

No one had mentioned classic film called KUCH KUCH HODAE the film was acted by shah Rukn Han nd my wife Kajor.
 
Sholay was the best film of all time and the film put amitahb bachchan in map

But I was real disappointed after the death of amitabh bachchan in that film.
Hata nyimbo ZAO,,,ulikiwa ukisikiliza ni hatari sn,,,nyimbo za sasa nyingi ni disco...UBUNIFU wa story ni ZERO.... wahusika wenyewe pia ni ZERO...tafuta MAIN TULSI TERE YAANGANI KI..rajesh khana,,,Ni hatari mkuu,,,love story,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damn!

I cann't believe did i skip a pages or something else.

No one had mentioned Classic film called KUCH KUCH HODAE the film was acted by shah Rukn Han nd my wife Kajor.
Ni KUCH KUCH HOTAHE, sio HODAHE. Ile film ilitamba sn, lakini story haikuwa Kali SNA, kuna film Fulani za sharukan inaitwa VEER ZEER, KAL HO NAO, INA story nzr sn kuliko hyo KUCH KUCH hotahe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sholay was the best film of all time and the film put amitahb bachchan in map

But I was real disappointed after the death of amitabh bachchan in that film.
Mtunzi alimtengeneza hivyo dharam (dharmendra )mwisho aliumia sana baada ya kugundua ile sarafu ilikuwa na vichwa pande zote amitha alikuwa mtu wa kujitoa sana katika filamu ile
 
Ni KUCH KUCH HOTAHE,,,sio HODAHE,,ile film ilitamba sn,,lakini story haikuwa Kali SNA,,,kuna film Fulani za sharukan inaitwa VEER ZEER,,KAL HO NAO,, INA story nzr sn kuliko hyo KUCH KUCH hotahe..

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeweka avatar ya amjad khan hicho chuma penye sholay kilikuwa kibandidu sana pana sehemu hema malin alilazimishwa kutumbuiza juu ya jiwe kisha pakamwagwa vipande vya chupa anacheza huku dharam kafungwa kama anamuangalia kwa ghadhabu amjad khan wala hajali.
 
Back
Top Bottom