Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Albam gani ya nyimbo kali zaidi unayoikumbuka.

Kwangu ni Sajan.
 
Bollywood wamekuwa wapuuzi nowadays.. Movies zao mbovu sana..
Kama hii thug of Hindustan na 2.0 nilishindwa zimaliza nilikaa nusu Saa nikasepa..
Ukitaka burudani za kihindi ingia Tamil.. Kuna dude linatoka mwezi huu.. KGF.. Angalia trailer

Dah mimi na Tamili na vitu viwili tafauti, siwezi kabisa angalia michezo yao inanishinda aisee.
 
Bollywood wamekuwa wapuuzi nowadays.. Movies zao mbovu sana..
Kama hii thug of Hindustan na 2.0 nilishindwa zimaliza nilikaa nusu Saa nikasepa..
Ukitaka burudani za kihindi ingia Tamil.. Kuna dude linatoka mwezi huu.. KGF.. Angalia trailer

Binafsi sikuwa na matarajio yoyote kwa Thug of Hindustani licha ya kuwa na mkali Aamir Khan ndani yake. Yule Director ni mbovu sana filamu zake za nyuma zinajieleza.
 
Mambo ya Sterling kufia kwenye mauwa hayo! mtu anapigwa risasi pale ilipopita panaanza kuwa na ishara ya damu kabla hapajatoboka.

Hatari sana!
 
Mi nawapendaga wachuchu wao tu.

Tanushree Dutta....Rakhi Sawant....

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Rakhi Sawant alisema Tanushree Dutta alitaka kumbaka
 
Back
Top Bottom