mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Movie za Kihindi hata kwenye torrent zinakuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movie za Kihindi hata kwenye torrent zinakuwepo
Sijui uzee au nini picha yangu ya mwisho kuangalia ya kihindi ilikuwa aandhir tofaan mwaka 1986 staring alikuwa shash kapoor humo bibie hema malin pale shatrunghan sinha jambazi dany denzongpa
Kama umeangalia sholay au disco dancer ama kasam paida karne walek au shan na naseeb pana ladha huwezi kuipata kwa vijana wa sasa.Duh! We utakuwa bonge la mhenga!!
Bollywood wamekuwa wapuuzi nowadays.. Movies zao mbovu sana..
Kama hii thug of Hindustan na 2.0 nilishindwa zimaliza nilikaa nusu Saa nikasepa..
Ukitaka burudani za kihindi ingia Tamil.. Kuna dude linatoka mwezi huu.. KGF.. Angalia trailer

Mi nawapendaga wachuchu wao tu.
Tanushree Dutta....Rakhi Sawant....
Bollywood huwa napenda comedy zao
Wanachekesha sana
Kama umeangalia sholay au disco dancer ama kasam paida karne walek au shan na naseeb pana ladha huwezi kuipata kwa vijana wa sasa.