Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Iyo film safi sana, Nilikua simfagalii kabisa Rahul Bose lakini baada ya kuitizama movie hiyo alinibidi jamaa nianze kusaka kazi zake.

Kuna na Sequel yake inaitwa Shaadi ke side effects Kacheza Farhan Akhtar na Vidya Balan nayo ni safi sana.
Rahul hiyo filamu alicheza vizuri sana.
Kama ni ugawaji wa Nyota "5" kwangu mimi ningetoa 4/5.

Hiyo shaadi Ke side Effects bado sjapata kuitazama.
 
Mkuu huyo si yule aliecheza kwenye filamu ya Bullet Raja ya Saif Ali Khan?
Labda, sinahakika sana japo kacheza filamu lakini sinyingi nadhani kaanza kucheza 2011.

Picha zake hizi hapa.

Jammwal.
Vidyut-Jamwal2.jpg
vidyut-jammwal-injured-on-sets-of-his-upcoming-junglee-photos-pictures-stills.jpg
Vidyut-Jamwal-Physical-Appearance.jpg
Vidyut-Jamwal-Force.jpg
 
Kitu ninachokipenda zaidi kwenye filamu za bollywood ni ule u realistic situation, Michezo mingi unakuta inaenda halisi kabisa na mazingira ya kimaisha hata kwa sisi waafrika.. Kama hizo side effects films.
Ndio ndio....Kwa kiasi chake wanajitahidi kwenda na uhalisia.

Kwa Mfano.
Filamu ya RAID ya mwaka huu 2018.
Iliyochezwa na Ajay Devgan kama Afisa na Mzee shukla kama Tajiri & Mwanasiasa.

Raid inazungumzia masuala ya kodi,kujilimbikizia Mali.

Huki Wananchi wakiwa na uelewa mdogo wa Mambo ya kodi ikawa patashika kwa Afisa Ajay.

Hii filamu ipo njema sana.Nyota 4/5.

sds.jpg
 
Attachments

  • 220px-Ajay_Devgn's_Raid_poster.jpg
    220px-Ajay_Devgn's_Raid_poster.jpg
    20.7 KB · Views: 47
  • 220px-Ajay_Devgn's_Raid_poster.jpg
    220px-Ajay_Devgn's_Raid_poster.jpg
    20.7 KB · Views: 43
Ndio ndio....Kwa kiasi chake wanajitahidi kwenda na uhalisia.

Kwa Mfano.
Filamu ya RAID ya mwaka huu 2018.
Iliyochezwa na Ajay Devgan kama Afisa na Mzee shukla kama Tajiri & Mwanasiasa.

Raid inazungumzia masuala ya kodi,kujilimbikizia Mali.

Huki Wananchi wakiwa na uelewa mdogo wa Mambo ya kodi ikawa patashika kwa Afisa Ajay.

Hii filamu ipo njema sana.Nyota 4/5.

View attachment 964524

Naijua hiyo lakini bado sijapata muda nikaitulizia. Ila kuna filamu ya Ajay Devgan na Tabu inaitwa Drishyam ni safi sana hiyo.

Kuna na ya akshay Kumar inaitwa Special 26 mkuu na hiyo imesimama kabisa.
 
Naijua hiyo lakini bado sijapata muda nikaitulizia. Ila kuna filamu ya Ajay Devgan na Tabu inaitwa Drishyam ni safi sana hiyo.

Kuna na ya akshay Kumar inaitwa Special 26 mkuu na hiyo imesimama kabisa.
Nitajitahidi nizitazame hizo filamu nikipata nafasi.
 
Nadhani miaka ya sasa utunzi wao umepwaya wanaangalia zaidi kutengeneza scenes zitakazouza filamu kwa haraka, yaani wame_base zaidi ktk biashara kuliko ubunifu. Zamani filamu za kihindi ziliweza ku_balance ubunifu na biashara (Mfano filamu kama Sholay, Deewar, QSQT, DDLJ, KKHH, Naseeb, Kaala Pathar, Janbaaz, Baazigar, Don nk.)

Pia naona wanajaribu kuiga sana mambo ya Hollywood, sio vibaya, ila wanapitiliza na kuanza kupoteza ule uhalisia wao.

Sholay, DDLJ, Baazigar ivo vitu simchezo kabisa
 
Rahul hiyo filamu alicheza vizuri sana.
Kama ni ugawaji wa Nyota "5" kwangu mimi ningetoa 4/5.

Hiyo shaadi Ke side Effects bado sjapata kuitazama.

Mimi alikua akinamaliza kwa mbavu kila anapoigeukia camera mana kama anatuambiwa watazamaji mumeona?
Na yule bamkwe duh simchezo
 
Mimi alikua akinamaliza kwa mbavu kila anapoigeukia camera mana kama anatuambiwa watazamaji mumeona?
Na yule bamkwe duh simchezo
Hahaha kumbe waikumbuka vizuri.

Kuna kipande kimoja anapoachana na mchumba wake, anafika chumbani anafungulia sauti kubwa ya mziki kisha anajifunika shuka analia teh teh teh.
 
Ndiye huyo.
Yes yes.

Nilipata kutazama historia yake ya Maisha.

Kaanza kujifunza " Martial Arts" akiwa anamiaka mitatu.

Ana Degree in "Martial Arts"

Aliwahi kuwa nadarasa la kuwafunza wanawake mambo ya Sefl defence.

Anafanya masaa 6 mpaka saba mazoezi kwa siku.

Kwa upande wangu katika Indian movies kwa sasa namuona yupo Peke yake katika kilele cha mlima ndani ya sanaa ya mapigano.
 
Jamaa yupo vizuri kwenye mkono, nilishamuona.
 
Heshima kwako brother kaka,

Hakika wanawachuchu Wakali wakiongozea na mekapu ndio inakuwa balaa.

Kuna mchuchu mmoja anaitwa Genelia D'souza yupo katika filamu ya Force alicheza na John Abraham.

Alikuwa kapendeza mno,Toto lilikuwa safi sana.

Mara ya kwanza kuicheki filamu hii ilibidi niingie Wikipedia kutafuta taarifa zake niikakuta kashapata matuzo kibao mara ya mwanamke mwenye tabasamu lenye mvuto,sura yenye mvuto nk.

Bollywood wanajitahidi kupata wachuchu Warembo/Wazuri/Mvuto.

Genelia D'souza alicheza filamu moja na Imran Khan Jaane tu ... ya Jaane na ipovizuri hiyo filamu. Hata performance yake niliipenda nakumbuka ndio filamu iliomfanya akawa Big Star.
p175248_v_v8_aa.jpg
 
Sijui uzee au nini picha yangu ya mwisho kuangalia ya kihindi ilikuwa aandhir tofaan mwaka 1986 staring alikuwa shash kapoor humo bibie hema malin pale shatrunghan sinha jambazi dany denzongpa
Hahaaa...shammi kapoor kafa na tushamchoma moto kabisaa...na kusahau siku hizi kuna kina Shahee Kapoor,alia bhat n.k

Hema ni mbunge sasa hv
 
Binafsi sikuwa na matarajio yoyote kwa Thug of Hindustani licha ya kuwa na mkali Aamir Khan ndani yake. Yule Director ni mbovu sana filamu zake za nyuma zinajieleza.
Nimeumia mnoo kuflop ile movie daah
 
Genelia D'souza alicheza filamu moja na Imran Khan Jaane tu ... ya Jaane na ipovizuri hiyo filamu. Hata performance yake niliipenda nakumbuka ndio filamu iliomfanya akawa Big Star.
View attachment 964815
Safii sana.

Vipi huyu mrembo unampata sonaksh.

Kacheza filamu moja anagawa dozi sana (Kung-fu).

Akabambikiziwa kesi na kisha akapelekwa hospital ya vichaa, jina la filamu limeniponyoka.

indian-bollywood-actress-sonakshi-sinha-attends-the-success-party-of-picture-id464714212.jpeg
actress-sonakshi-sinha-attends-the-17th-international-indian-film-picture-id515559766.jpeg
bollywood-actor-sonakshi-sinha-during-an-exclusive-interview-for-her-picture-id461177712.jpeg
bollywood-actorsonakshi-sinha-during-an-exclusive-interview-for-her-picture-id461177684.jpeg
sonakshi-sinha-during-the-launch-of-the-my-ferragamo-collection-by-picture-id104559764.jpeg
 
Back
Top Bottom