Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,178
- 4,449
Rahul hiyo filamu alicheza vizuri sana.Iyo film safi sana, Nilikua simfagalii kabisa Rahul Bose lakini baada ya kuitizama movie hiyo alinibidi jamaa nianze kusaka kazi zake.
Kuna na Sequel yake inaitwa Shaadi ke side effects Kacheza Farhan Akhtar na Vidya Balan nayo ni safi sana.
Kama ni ugawaji wa Nyota "5" kwangu mimi ningetoa 4/5.
Hiyo shaadi Ke side Effects bado sjapata kuitazama.