Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aaah hiyo ya dancing naitaka

Kwenye TL 2 utakutana na huyo handsome wao akicheza nyimbo za IVE, alf utakuja ona mishangaz ilivyo na bahat korea[emoji1787]

Jana nikaona interview ya kyuhun na 19/20 crew

Couples zilizoadmit kudate ni ya my bwoy junghyun na loveydovey heeji nimefurahi sanaa
 
Usitoe spoiler ila huyu bibie Yi Hyun kwa unavyoona ipi ilikuwa sababu ya kuwa eliminated yaani sheria alivyovunja
 
Alikua na mpenzi kitaa
So knetz waka mblast

Na ex wake akatoka maana alijua pia kama ana mtu ila alifata umaarufu
[emoji23][emoji23][emoji23]wajinga sana ila mwanzo nilijua kuna kitu kitu kati yake na Tae I maana kila jamaa akiongea kuna facial expressions anaziweka Yi Hyun hadi unahisi kuna jambo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]wajinga sana ila mwanzo nilijua kuna kitu kitu kati yake na Tae I maana kila jamaa akiongea kuna facial expressions anaziweka Yi Hyun hadi unahisi kuna jambo

Kabisa
Anapenda kum tease
Bora alivyotoka angempenda mno kumbe dada kafata maokoto

Ilifaa aende love catcher kwa theme yake
 
Kabisa
Anapenda kum tease
Bora alivyotoka angempenda mno kumbe dada kafata maokoto

Ilifaa aende love catcher kwa theme yake
Sema yupo charming mzuri sana nimemaind acha niendelee na Ji Yeon shabiki wa 2Pac
 
Hiyo ni moto wa kuotea mbali.
Drama kama hizo ndizo nazioenda zenye siasa kali ,njama ,mipango na ujasusi . Kwakeli inaendesha nikipanga nicheki episode moja au mbili nakuta naongeza ina moto ile mbaya.

Hii kauli chini ni moja Kati ya msemo niliioupenda katika drama hiyo.
 
Yaani hii drama haina kupoa mpaka mwisho unatamani iendelee.
 
Sema yupo charming mzuri sana nimemaind acha niendelee na Ji Yeon shabiki wa 2Pac

Mwanzon lazima ujisikie hivyo maana alijua kuchangamsha

Ila huko mbele amsha amsha nyingi utamsahau
 
Uwepo wa application mfano wa spotify kwa audio, youtube kwa video n.k

Kuna umuhimu wa kuhifadhi audio na video kwenye device yako?
 
Kuna kitu kinaitwa FORBIDDEN LOVE Ni nzuri kwa wale wapenda action wakaione
 
Inaitwaje mkuu
 
Uwepo wa application mfano wa spotify kwa audio, youtube kwa video n.k

Kuna umuhimu wa kuhifadhi audio na video kwenye device yako?

Upo
Hivyo vitu vinaambatana na rasilimali bundle

Wakat ukishakua nacho ukijisikia tu una play

Ila hapa nimetafakari kitu ukiwa nacho freely kama thaman yake haiwi kubwa
Nina list ya nyimbo sijaskiza muda baada ya kuzimiliki ila nikisikia pengine nakuwa excited[emoji848]
 
Wale wazee wa kitonga niliowapaga lile file hebu jaribuni kuunga kile kifurushi kwenye ttcl then connect halafu download kitu cha mb 100+ mlete feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…