Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeona komenti yako mtaa wa pili ila nikijaribu kulog in inagoma. Ina muonekano huu ndio yenyewe? Natakiwa nifungue akaunti?
View attachment 2716121
App yenyewe hiyo ukiidownload unaweka namba yako kisha wanatuma verification code ukiweka zinaingia ,ukiuliza salio watakuambia Mb za promoshemi umepewa ngapi.
 
Ila jamani Mr sun shine ni 🔥🔥🔥
Mzigo wa moto huu upo kwenye top 10 yangu ya all time k drama series🔥🔥🔥
 

Huyu mwanamke ni kichwa kweli kweli, yaani ni mtu ambaye anaweza kukuangamiza bila kuamini. Kuligana na biography yake nilimtazama kwa mara ya kwanza kwenye drama ya Man 2 Man( 2017) although drama yenyewe nishaisahau hivyo hata uhusika wa dada huyu siukumbuki, Ila Namkumbuka vyema kwenye Mr. SUN SHINE alikuwa very ambitious woman, na alifanya vizuri mno. Ila kwenye THE DEVIL JUDGE alinikosha zaidi sababu alikuwa anaangamiza watu ambao ni tishio zaidi kirahisi mno kwa kutumia akili tu. Hii ilifanya niitafute GAEKJU/ THE MERCHANT hahaha toka huko alikuwa ni msumbufu sana. Nasema huyu mdada ni jangili hata kuliko yule Mishil wa Great Queen Seon Deok.

Anaitwa Kim min Jung mwanamama gaidi. Itafute DEVIL JUDGE utamfurahia japo anakera. Akili nyingi.
 
Dah hatari Sana, alafu ana mahesabu makubwaa Sana.
👉 Beauty with brain🤒, nili kapenda bure🤣🤔
 
Bishoo wa Soul huonekani kabisa, au mie ndie niliyepotea?
Wanafunzi wapo na gurudumu, wazee vijana tulee wajukuu.

talnam amekuwa master.

Numbisa bado ana jinamizi la ban ila ujuzi upo, haulizi tena link za kupakua drama.

Khantwe bado hajiamini ila ni legendary shupavu na mwerevu, huyu nadhani harusi yake atafanyia shilla hotel.

adriz Bado yupo gizani, kwake yeye sanaa ni wavaa mapazia tu, ananikumbusha nyakati zile naaza kukolea kuangalia wakorea..nilikuwa nawapenda wavaa mapazia tu.

Al-Hadidy amekuja kuongeza kitu kikubwa sana, ameupeleka huu uzi mpaka kwenye level ya variety show.
Heshima kwake, halafu anashabikia manchester united.....
Sijui ni reincarnation yangu?
Ana maneno ya shombo kama mjinga yule wa unguja pindi anapokerwa.
Respect kwake, kuna mambo najifunza kutoka kwake.

Mvaa Kobazi naye yupo, muhenga mwenda pole.

Hziyech22 bado ndio yule yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…