Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Joanah comrade
comrade uli kuwa wapi?, nili dhani ume susa.Comrade hiyo imeshatoka episodes ngapi?
Mambo yasipokuwa mengi kuanzia leo hadi wiki inayoanza nataka niangalie hizi
The haunted palace
Crushology 101
Weak hero class 2
comrade uli kuwa wapi?, nili dhani ume susa.
hiyo bado hadi tarehe 15, Anza na weak hero class 2.
sema dah we mwanamke hizo season zote 🤣😂
domo zege langu lili niponza, haya kila mtu aangalie series kivyake😁.Nilikuwepo comrade,sikuona tag yako
Nimeanza na the haunted palace
Weak hero kesho mapema naianza na kuimaliza
Domo zege tena? 😂domo zege langu lili niponza, haya kila mtu aangalie series kivyake😁.
Jana nili kuwa narudia squid game 2 ana Alice in border land hii ni 🔥 🔥
ehh si nili shindwa kuongea, ila it's good sometimes kuki kosa kitu halafu uka ona kina furaha😁😊.Domo zege tena? 😂
Squid game sijawahi kuiangalia....nimeisikia baada ya yule actor kufa
ehh si nili shindwa kuongea, ila it's good sometimes kuki kosa kitu halafu uka ona kina furaha😁😊.
iangalie ni nzuri mno, hata Alice in borderland ni Kali mno.
Actor aliye kufa ni yule mwana mama lee Joo sil
Ohh nime ona, ila wame kufa wawili mwanaume na mwanamke.Aliyekufa kwenye squid game ni mwanaume
NilisahauOhh nime ona, ila wame kufa wawili mwanaume na mwanamke.
Mwanamke ni mzee bhana wa 80 yrs😁😂Nilisahau
Na wa kike kweli amekufa....mwanamke ni yule aliyehusishwa kimahusiano na Kim Soo Hyun
Sawa comradeMwanamke ni mzee bhana wa 80 yrs😁😂
Uko powa lakini?Sawa comrade
Huu Uzi wa Wakorea usije tena nakuonya wewe Nyambulet , ukija utakula panga na Gun za kutosha sawa ?Oyaa Jombis temana na Mimi.
Kitu gani imekufanya Usione ni Kali?Pengine, nilitegemea makubwa tofauti na kilicho wasilishwa.
S1 na 2 ni mbingu na ardhi.
we nyau de adriz acha biti zako, panga uta pigwa chap na The Mongolian SavageHuu Uzi wa Wakorea usije tena nakuonya wewe Nyambulet , ukija utakula panga na Gun za kutosha sawa ?
Very poa comradeUko powa lakini?
ahh huku ni series, mpira wa Madrid + msosi. Si una jua singularity ehh😂Very poa comrade
Happy sunday!
Unakuwaje single pisi zilivyojaa comradeahh huku ni series, mpira wa Madrid + msosi. Si una jua singularity ehh😂
With my life style it's quite hard to meet my match, cause. My ain't that tender.Unakuwaje single pisi zilivyojaa comrade