Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu Intelligent businessman hii My life again nimeshawahi kuiona, tunaangalia series nyingi mpaka zingine tunazisahau majina πŸ˜‚

Dakika 6 za episode 1 zimetosha kunifanya niikumbuke, ngoja niende na My Country tu.
Shida huku taka kufata maelekezo yangu, nili kuambia Anza na my country wewe ume kimbilia again my life πŸ˜‚πŸ€£.
 
Asante Sana, kopi imfikie Joanah, Nifah, adriz, Selikavu
Hahahahaha!! hiyo nadhani pure love story, Mimi sipendi drama main theme iwe mambo ya mapenzi na romance , mara episodes 10 nzima kutongozana kwangu never .

Ikiwa Main theme ni mapenzi iwe na mixed flavours mfano Descendants of the Sun ila ni kama love story ndani yake wamechanganya mambo ya kijeshi , kupambana na Ugaidi na politics kidogo...

Vitu vyangu ni historical, Umafia na Ujasusi haswa wakiwa ndani ya mashuka.
 
Hahahahaha!! Destined ndio machina pekee niliyemuona na kumkubali ila Chinese naona kama vikatuni tu.
 
Hivi Netflix Wana mpango wa kutuketea Vincenzo season 2 na Arthdal Chronicles 3 ? maana zimeisha pazuri kweli kama wakiendeleza.
 
Acha wehu hicho chuma ni πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯, kaigiza lee Jae wook wa alchemy souls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…