Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Maajabu haya kikongwe ana taka aitwe gen z Selikavu, dosho12, Razorblade π¦ πMkuu hapendi utani wa hilo jina π
Umeshindikana π
basi nasema kikongwe ya mwisho, arrghh we usi nipangie π πUmeshindikana π
πππbasi nasema kikongwe ya mwisho, arrghh we usi nipangie π π
π π Huo ni ubaguzi kwani wazee hawajui kuigizaNimeingia cha kiume leo π
Nimedownload drama inaitwa show window: the queen's house
Nimedownload episodes zote nimekaa hapa naanza kuangalia ety naigoogle drama ni ya 2021 π halafu walio act ni wazee wenye miaka 40/50 huko
Nimeifuta inabidi niangalie season 2 ya bitch x rich
Ngumu kumeza πNimeingia cha kiume leo π
Nimedownload drama inaitwa show window: the queen's house
Nimedownload episodes zote nimekaa hapa naanza kuangalia ety naigoogle drama ni ya 2021 π halafu walio act ni wazee wenye miaka 40/50 huko
Nimeifuta inabidi niangalie season 2 ya bitch x rich
π π Huo ni ubaguzi kwani wazee hawajui kuigiza
Nikupe website kali kushinda zote?Tulud tu nkiri kwa muda mkuu nitakuletea website nyingine kali nikipata
walaa nili Kumbuka jersey tuππUmekumbuka jersey au umekumbuka kunichokoza? π±
Oya mnatumia website gani kuzifownloadKuona wazee wanakiss ni kama nawakosea adabu vile π
NkiriOya mnatumia website gani kuzifownload
chilling alone, currently watching hii school drama ni π₯ π₯ π₯.
Ina episode 8, ni ya Mwaka huu, ina mwezi 1 tu.
Numbisa, Nifah, dosho12, Selikavu, Edo kissy, Mac Alpho, Razorblade
View attachment 3412682
π₯βchilling alone, currently watching hii school drama ni π₯ π₯ π₯.
Ina episode 8, ni ya Mwaka huu, ina mwezi 1 tu.
Numbisa, Nifah, dosho12, Selikavu, Edo kissy, Mac Alpho, Razorblade
View attachment 3412682
Inaonekana Kaliπchilling alone, currently watching hii school drama ni π₯ π₯ π₯.
Ina episode 8, ni ya Mwaka huu, ina mwezi 1 tu.
Numbisa, Nifah, dosho12, Selikavu, Edo kissy, Mac Alpho, Razorblade
View attachment 3412682
Kulala ni kipaji pekee nisicho nacho π πSaa saba usiku mkuu haulali?
NzuriInaonekana Kaliπ