Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mara nyingi huwa kabla sijapakuwa series naisoma kwanza, jaribu kuwa unafanya hivyo ili usiwe unachoma bando kusiko na faida.
Hii drama ilikuwa niiangalie regardless kwasababu ya main leads

Ndio maana tangu episode ya kwanza niliona boring lakini nipo nayo hadi mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…