Tag kama hizi huwa nazifurahia sana, na mara zote kila nikikuta tag sijawahi kwenda kukutana na drama mbovu.Omniscient reader ni nzuri
My beautiful onyinye Joanah
Wahuni: Selikavu, dosho12, Selikavu, Edo kissy, Razorblade
Numbisa, Nifah, Mac Alpho,
View attachment 3437669
Baridi kaka, mimi niko nanjilinji hapaTag kama hizi huwa nazifurahia sana, na mara zote kila nikikuta tag sijawahi kwenda kukutana na drama mbovu.
Ngoja niichungulie hii nione.
angalia two weeks, the last beggar war 😂😂 ni 🔥 🔥Sasa nipo na Iljimae na My Country kote ninevuka zaidi ya episode kumi sina vibe sana ya kuangalia .
Sasa sijapata series ya kijasusi , siasa , stori Kali na mkono wa maana ambazo zitanipeleka puta Kulala mpaka saa 7 .
Bado natafuta yenye vibe na taste kama Six flying dragon na muendelezo wake Tree with a deep root , Vincenzo, Emperor of the sea nk sijapata kwa hakika.
Mimi nasubiri Arthdal Chronicles 3 na Vincenzo 2 japo wenyewe hawajasema kama watazotoaMpaka leo nasubiri season 2 ya vyuma hivi vya kichina na korea, ila sioni mwanga.
Song of bandits- korea
Black night - Korea
sword snow stride - china
Princess agents - china
vagabond - korea
hizo sidhani, ila nilizo taja zili isha kiwaki.Mimi nasubiri Arthdal Chronicles 3 na Vincenzo 2 japo wenyewe hawajasema kama watazotoa
Alijitahidi sana ila ukiangalia vizuri unagundua maamuzi mengi alikuwa anafanya kwa sababu alikuwa akijihisi mwenye hatia kwa kilichomtokea Hae Mo-su na hapo hapo ni kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo kwa Lady Yuhwa.Huyu Mzee kiboko ; kwenye Jumong Moja ya character niliyoipenda na ya King Geumwa ni Mzee wa misimamo hayumbishwi halafu ana majibu short and clear akili nyingi haogopi Wala kusita kwenye suala zima la Maamuzi Magumu View attachment 3447816
Huyu Mzee kiboko ; kwenye Jumong Moja ya character niliyoipenda na ya King Geumwa ni Mzee wa misimamo hayumbishwi halafu ana majibu short and clear akili nyingi haogopi Wala kusita kwenye suala zima la Maamuzi Magumu View attachment 3447816
Series za kufikirika kama hizi huwa na story nzuri, bila shaka utaipenda.Muda huu naanza kuangalia Bon Appétit, your majesty
Naomba nisiwe disappointed kama Law and the city 🤞
Kweli ya kufikirika,mwanzo tu naona mambo ya kufikirika...Series za kufikirika kama hizi huwa na story nzuri, bila shaka utaipenda.
Kuna rafiki/ndugu yako unajua kabisa akikusimulia story basi kwa asilimia kubwa ni uongo lakini kwa namna ambavyo anapangilia story unajikuta unafurahi tu akusimulie.Kweli ya kufikirika,mwanzo tu naona mambo ya kufikirika...
Ati mtu kachoma nyama kwa moto wa nyasi tena ndani ya dakika 3
Yeah,sureKuna rafiki/ndugu yako unajua kabisa akikusimulia story basi kwa asilimia kubwa ni uongo lakini kwa namna ambavyo anapangilia story unajikuta unafurahi tu akusimulie.
Ndo hizi story za kufikirika zilivyo, huwa naburudika sana nikiziangalia.
Burudika mkuu, unaweza fanya majaribio ya kuchoma nyama kwa kutumia nyasi pia 😂Yeah,sure
Muhimu burudani
Nitajaribu leo kuchoma nyama kwa nyasi 🤣Burudika mkuu, unaweza fanya majaribio ya kuchoma nyama kwa kutumia nyasi pia 😂
Haya enjoy mkuuNitajaribu leo kuchoma nyama kwa nyasi 🤣
Lakini so far episode ya kwanza ni 👌