Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Nani tena huyo?, si umtaje kwa majina ka Kweli we ni gunman.Kuna mtu humu alisema hajui VPN kumbe yupo ndani ya nyumba ila tags za humu kazipuuza , ngoja tusubiri comeback yake akija π.
Ana series za mjini kali kabisa.Duh ! ngoja niwacheki fresh
Ila Song ill Gook , katuacha kizembe kweli hajapiga series nyingi . Panga katupigia 3 tu Jumong , Emperor of the sea na Kingdom of the Winds .
Wakili wangu nini shida?, au kutokuita baba sk ndio shidaπ πAnatag Wafuππ
Hizi sio korean mkuu hizi ni XIANXIA NA WUXIA za kichinaRip # yu menglong
View attachment 3469801
Oya Mwanangu nimerudi Japan juzi Leo unataka kunivua UGunMan ?Nani tena huyo?, si umtaje kwa majina ka Kweli we ni gunman.
Mwamba Razorblade yuko vizuri kwenye sector ya kuchochea kama Catalyst kwenye Chemical reactions .Namba yako ninayo nita kupigia, acha uchonganishi falaππ
Za Mjini nilionaga ile ya A man called God pekee , zingine sikufuatilia kwa vile Mimi bila mashuka na panga ni ngumu sana kucheki series.Ana series za mjini kali kabisa.
Huyu kijana wetu atasafirishwa kuletwa Mubimbili kwa matibabu zaidi πππJ nimeanza kumuogopa si mtu wa kawaida jana kwenye Uzi mmoja Kawa nyota wa mchezo kanipigia mtu spana ya hatari , mchizi alijifanya yuko mambele J akamuumbua utapeli wake kwa kuweza link nyuzi zake zenye taarifa zinazokinzana jamaa akawa anapopolewa tu na Wadau baada ya hapo.
Kuna mtu humu alisema hajui VPN kumbe yupo ndani ya nyumba ila tags za humu kazipuuza , ngoja tusubiri comeback yake akija π.
Sawa mkuu π€πNamba yako ninayo nita kupigia, acha uchonganishi falaππ
Kanihuzunisha sana πAnatag Wafuππ
Mie nimekumbuka kunywa nae soju tu, Joanah kama upo pita utoe hata salamu.Oya Mwanangu nimerudi Japan juzi Leo unataka kunivua UGunMan ?
Nilichukua kauli hii ya Mr Kiwembe hapa baada ya kusema kuwa "anahisi amekubaliana na bana ya siku 90" kitaalamu ni sawa na kumaanisha kuwa hajui Matumizi ya VPN , ndio jana nikaProve wrong baada ya kumkuta Jo mjengoni anagonga spana.View attachment 3473087
Razor atamfunga Negan lin kaniachia ziwa halafu mzembe kwenye hizo harakati inabidi nimpambanie watu wasijesema ndugu yangu mgonjwa πππMwamba Razorblade yuko vizuri kwenye sector ya kuchochea kama Catalyst kwenye Chemical reactions .
Mwamba kimasihara amefanya mpaka Selikavu (Razor atamfunga Negan lin ) apate pisi Jf , yaani amegongea misumari ya kiuchochezi mpaka mgombea kakubali kinachosubiriwa ni Oktoba tu Selikavu mnyama atie tiki mchezo uishe.
Huyu asiyejua VPN na yupo hapa muda huu ni nani huyo ninong'oneze πππJ nimeanza kumuogopa si mtu wa kawaida jana kwenye Uzi mmoja Kawa nyota wa mchezo kanipigia mtu spana ya hatari , mchizi alijifanya yuko mambele J akamuumbua utapeli wake kwa kuweza link nyuzi zake zenye taarifa zinazokinzana jamaa akawa anapopolewa tu na Wadau baada ya hapo.
Kuna mtu humu alisema hajui VPN kumbe yupo ndani ya nyumba ila tags za humu kazipuuza , ngoja tusubiri comeback yake akija π.
Thank you. Have a beautiful day ππ
kijana wako Razor atamfunga Negan lin anayumba Mwambie kuwa Bakari Nondo si beki wa kutegemewa , na Jobless tunapambana katiba iboreshwe wanachama tuingie kwenye kampuni ya kuvuta majiko sasa nashangaa jamaa anarudisha nyuma harakati za maendeleo.Huyu kijana wetu atasafirishwa kuletwa Mubimbili kwa matibabu zaidi πππ
Pole sana comrade πAseee nimelia kinyama π€£
Ni mimi nilihuzunika sana na kudhani unekubaliana na kifungo cha siku 90 πHuyu asiyejua VPN na yupo hapa muda huu ni nani huyo ninong'oneze πππ
Kijana tuendelee kumpambania ili jambo la nikah lipite mapema bila kupoteza muda, wanaendana sana.kijana wako Razor atamfunga Negan lin anayumba Mwambie kuwa Bakari Nondo si beki wa kutegemewa , na Jobless tunapambana katiba iboreshwe wanachama tuingie kwenye kampuni ya kuvuta majiko sasa nashangaa jamaa anarudisha nyuma harakati za maendeleo.
Akiwa seriaz Mimi najitole GHARAMA za mahali na ndoa kwa sharti shemeji awe yule yule maana ni perfect combo .