Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Ni mwendo wa codes tu dadeqqq
 
Uchawi huu, sema soseono pisi Sana😂🔥
Tokea nianze kutazama K-drama katika pisi Soseono hakosi Top 3 , tokea hata sijabalehe enzi hizo naangalia Jumong ITV nilikuwa navutiwa kumtazama tu Soseono . Tabasamu lake matata sana meno meupe na dental formular yake imekaa unyama sana.

Halafu sijawahi kucheki series Wala movies yake nyingine yeyote zaidi ya Jumong .
 
Ile mali imenyooka mkuu, ukisikja kisura cha upole ndo kile sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…